Miaka 55 ya uhuru; Je ni uhuru wa kufanya lolote?

Bado kidogo watapanga bidhaa lango la ikulu. Inakera sana kuishi bila mpangilio. Naamini hata mateja wataanza kunya popote muda si mrefu. Maana pachafu hushawishi kuongezea uchafu au sema penye mlundikano wa taka ndipo watu hutupia taka zingine
 
Nchi ilishaanza kuwa safi,lakini sasa anairudisha kule kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…