Miaka 55 ya uhuru; Je ni uhuru wa kufanya lolote?
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 915 500 Dec 10, 2016 #2 Uhuru wa kufanya lolote?!... Huo bado kabisaaaaa na hautakuwepo!......
SangaweJr JF-Expert Member Oct 28, 2012 2,835 2,000 Dec 10, 2016 #3 Chezea machinga weweeee... Machinga sio watu wa sport sport
E eddy JF-Expert Member Dec 26, 2007 13,744 2,000 Dec 10, 2016 #4 jopss said: View attachment 444609 Click to expand... mwenye pickup itabidi asubiri hadi dogo amalize mzigo
jopss said: View attachment 444609 Click to expand... mwenye pickup itabidi asubiri hadi dogo amalize mzigo
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,431 2,000 Dec 10, 2016 #5 Bado kidogo watapanga bidhaa lango la ikulu. Inakera sana kuishi bila mpangilio. Naamini hata mateja wataanza kunya popote muda si mrefu. Maana pachafu hushawishi kuongezea uchafu au sema penye mlundikano wa taka ndipo watu hutupia taka zingine
Bado kidogo watapanga bidhaa lango la ikulu. Inakera sana kuishi bila mpangilio. Naamini hata mateja wataanza kunya popote muda si mrefu. Maana pachafu hushawishi kuongezea uchafu au sema penye mlundikano wa taka ndipo watu hutupia taka zingine
J james bendui JF-Expert Member Dec 3, 2015 417 500 Dec 10, 2016 #6 Ni uhuru wa kufanyaa lolote kikatibaa lkn
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,390 2,000 Dec 10, 2016 #7 Nchi ilishaanza kuwa safi,lakini sasa anairudisha kule kule.