Miaka 53 baada ya uhuru

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,453
Reaction score
10,060
Inasikitisha kuona taasis muhimu kama hii, bado baadhi ya vitendea kazi vyao viko hivyo, katika taifa ambalo lina miaka 53 ya uhuru.
View attachment 216430
 

Baadhi ya vituo vya Police ni shida na bado wanasiasa najinadi wanefanya makubwa ndan ya nchi iliyojaa umasikin licha ya rasilimali ilizonazo!!!!
Inasimitusha saana
 
View attachment 216438
Baadhi ya vituo vya Police ni shida na bado wanasiasa najinadi wanefanya makubwa ndan ya nchi iliyojaa umasikin licha ya rasilimali ilizonazo!!!!
Inasimitusha saana

ukiona mabanda wanayolala wenyeewe wanaita kota, unaweza ukazimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…