Kwa wenye experience na maisha ya vijijini ni kawaida kuwakuta watoto hivi kwani mazingira yao na vyakula vyao walishavizoea na hawaoni tabu kuishi jinsi walivyo ila sie ambao tunatamani wawe walau kama sie ki hadhi ndo tunatafakari je ni haki kwa nchi yenye raslimali kama hii kweli kusherehekea miaka 50 ya uhuru wake huku mamilioni wakiwa katika lindi la umasikini na tofauti ya kipato kati ya alienacho na asiyenacho inazidi na bado wakuu wetu wanatupaka mafuta kwa migongo ya chupa kuwa TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE. What a crap!!!???