Miaka 50 ya uhuru mnamkumbuka Kigoma Ally Malima?

Watetezi wa Malima kwa Unafiki siwawezi hadi leo hamkubali kuwa kutumia namba kwenye mitihani ni utaratibu uliokuwepo kabla malima hajawa waziri? Kweli nyie vichwa panzi

Sijui kwa nini Invisible & Co. waliondoa kile kitufe cha "Thanks".........anyway Mkuu Kinyungu asante sana......hawa nami nawaita wanafiki........au ndio wale vijana wa "gogovivu"
 
Nilikuwa mtoto, Nachokumbuka baba yangu alinambia Malima aliibia serikali pesa nyingi sana akazificha ulaya.
 
Kighoma Ally Malima..namkumbuka kama msomi muungwana aliyetamani mfumo wa haki katika elimu na fedha za nchi

Kwa kupenda haki na kutibua mpango wa ubaguzi aliou asisi nyerere alikumbana na mfumo kristo, wakamchukia na kumsingizia ujinga unaosemwa hapa

Historia yake iko salama mikononi mwa Muumba na Waislam wengi wa Tanzania..hakuna wa kutudanganya tena..

Mungu akulaze mahala pema ..
 
kazi ipo humu.Na sisi tutahukumiwa kwa matendo yetu wala si kwa kumtetea Malima wala kumponda.Wengi humu tunajikosha kwa kufikiri tunayoyatamka na kushabikia humu yatatuweka huru kwa MUNGU.
 
Al Marhuum Kighoma Ali Malima, utakumbukwa sana katika safu za Waislamu. Ulijitoa ,mhanga huku ukijua bei yake. Ni gharama hiyohiyo waliipata kina Kitwana Kondo na Manju Msambia hivi karibuni ya kutaka kuondoa status quo iliyopo nchini na utekelezaji wa mfumo kandamizi 'mfumo kristo'

Majlis za waislamu Tanzania daima zitakukumbuka na Allah atakulipa kheri. Nakumbuka mauti yalivyokukumba siku zile jijini London ulikuwa unatoka kutekeleza ibada muhimu ya umrah nchini Saudia Arabia. Mengia ya uzushi yalisemwa juu ya madai ya wewe kujilimbikizia mali na ufungwaji wa zinazodaiwa ni akaunti zako ughaibuni. Huu ni uzushi na umbea uliotengezwa na mfumo kandamizi.

Mbona inatisha na kuleta wasiwasi hivi hii nchi inaenda wapi jamani? somalia? nigeria? sudan? pakistani au afighanistan? threads kama hizi na wanaochangia kwa mtazamo wa mtoa mada zinadhihirisha kabisa mambo yanayofundishwa na kuongelewa kwenye masjid za nchi hii. Hivi ni kweli kwamba watu walioleta uhuru au mageuzi yenye neema nchi hii walikuwa waislam tu? Chukulia mfano wa Kigoma Malima nani hajui kuwa kilele cha umaarufu wake kilikuwa wakati wa awamu ya kwanza alipokuwa anajina kubwa la uprofessa akapewa kazi ya uwaziri wa uchumi na mipango kabla ya kudorolesha uchumi hadi kuondolewa kwenye wadhifa huo? Nyie mnaopandikiza chuki na migawanyiko kwenye jamii za watanzania kwa misingi ya imani yenu mjue kuwa hayo mnayoyafanya ndo yale yaliyoandikwa kuwa yanafanywa na shetani maana yeye ndiye baba wa uongo, fitina na mauaji.
 
Kighoma Ally Malima..namkumbuka kama msomi muungwana aliyetamani mfumo wa haki katika elimu na fedha za nchi

Kwa kupenda haki na kutibua mpango wa ubaguzi aliou asisi nyerere alikumbana na mfumo kristo, wakamchukia na kumsingizia ujinga unaosemwa hapa

Historia yake iko salama mikononi mwa Muumba na Waislam wengi wa Tanzania..hakuna wa kutudanganya tena..

Mungu akulaze mahala pema ..

Lakini aliyemfanyizia ni muislamu mwenzake JK.
 
Kighoma Ally Malima..namkumbuka kama msomi muungwana aliyetamani mfumo wa haki katika elimu na fedha za nchi

Kwa kupenda haki na kutibua mpango wa ubaguzi aliou asisi nyerere alikumbana na mfumo kristo, wakamchukia na kumsingizia ujinga unaosemwa hapa

Historia yake iko salama mikononi mwa Muumba na Waislam wengi wa Tanzania..hakuna wa kutudanganya tena..

Mungu akulaze mahala pema ..

Alipofariki Alishajitoa ccm,na alikuwa anajiandaa kugombea urais muda ufikapo kwa chama cha NRA,cha Aboubakar Olotu......ambacho yeye na mwanaye Adam...walikuwa wamejiunga nacho.

Baada ya kufariki wafuasi wake wakaamua kuuunga mkono chama cha CUF ...na kuachana na NRA.....mwanaye baadaye alirudi ccm kimya kimya......

Mbona mmekitosa NRA?
 
mmh nchi hii ina mambo
Sasa JK mbona hafanyi hivi kwa hawa wazee wa vijisenti wa sasa ?
 
Huyu bwana alikuwa anaenda kusali kanisani ili aonane na Nyerere. Baada ya Mwinyi kuingia madarakani, akawa ni muislamu aliyepitiliza. Ukweli tu ndio utatuweka huru. Kama tunatafuta role models, tufikirie mara mbili mbili.
 
Al Marhuum Kighoma Ali Malima, utakumbukwa sana katika safu za Waislamu. Ulijitoa ,mhanga huku ukijua bei yake. Ni gharama hiyohiyo waliipata kina Kitwana Kondo na Manju Msambia hivi karibuni ya kutaka kuondoa status quo iliyopo nchini na utekelezaji wa mfumo kandamizi 'mfumo kristo'

Majlis za waislamu Tanzania daima zitakukumbuka na Allah atakulipa kheri. Nakumbuka mauti yalivyokukumba siku zile jijini London ulikuwa unatoka kutekeleza ibada muhimu ya umrah nchini Saudia Arabia. Mengia ya uzushi yalisemwa juu ya madai ya wewe kujilimbikizia mali na ufungwaji wa zinazodaiwa ni akaunti zako ughaibuni. Huu ni uzushi na umbea uliotengezwa na mfumo kandamizi.

Yaaah Allah kweli atamlipa ila siyo Mungu wetu Jehova
 
Huyu bwana alikuwa anaenda kusali kanisani ili aonane na Nyerere. Baada ya Mwinyi kuingia madarakani, akawa ni muislamu aliyepitiliza. Ukweli tu ndio utatuweka huru. Kama tunatafuta role models, tufikirie mara mbili mbili.
kwa hiyo alikuwa mjanja na tayari kwa lolote ili apate alichokihitaji
 
I think we dont want to use our time and mind appropiately. Do we really know these guys we call role models? I also thought alot about our country now...hivi vita yetu kubwa ni nini? Udini, siasa au kumiliki njia kuu za uchumi? Kwa mtazamo wangu mimi, yeyote anayetaka kutawala Tanzania kesho ni lazima awe na elimu na maarifa na ashiriki vilivyo kwenye shughuli zote za uchumi uliopo leo. Hakuna mtu asiye na uwezo wa kielimu, na kifedha atakayetawala. sasa mbona tunababaika na mambo ambayo yanatupotezea muda wakati nia yetu ni kushika madaraka? Kupiga kelele peke yake hakutatupa mamlaka ya kuongoza wengine.
 
Kwakuwa alifanikiwa kuzuia njama chafu za Nyerere kuwabania waislamu, ndio maana historia inafichwa.

Nyerere alitaifishaje shule kwa ajili ya watu wote na wakati huhuo akiwa na wazo la kuwapendelea watu wa imani yake.... imekaaje hii?unataifisha shule za dini halafu baadaye unasumbuka kuwapendelea watu wa imani yako kwenye shule za serikali. nadhani kama mwalimu angekuwa na wazo hilo angeziacha shule za dini yake ambazo zilikuwa nyingi zaidi na kuwapelekea misaada hukohuko. Mbona tuhuma hazijanyooka?
 
kumbukumbu nilizonazo namba katika mitihani ilianza tangu enzi ya mitihani ya cambridge hata mimi sikuwahi kutumia jina. Naomba mtazamo wenu?
 
Kighoma Alli Malima alikuwa mwanasiasa opportunist wa hali ya juu, kwani katika maisha yake alioa mama wa kihehe wa dini ya kikisto wakati huo alikuwa haujui uislam; baada ya kushindwa kumaliza PH.D yake kule Princeton[ hakuna record kuwa alimaliza huko princeton]alirudi na kufundisha UDSM na baadae akaja kuwa mkurugenzi wa IFM. Aliingia siasa enzi ya mwalimu Nyerere na kujipendekeza sana kwa Mustapha Ny'ang'anyi wakati huo akiwa kipenzi wa mwalimu na mjumbe wa cc ya ccm. Muda si muda akawa waziri na Mwinyi alipopata Urais ndio huyu bwana akaanza mambo ya Udini na kumyanyasa sana yule mama wa kihehe kwa sababu ya madhehebu yake na ndipo akaongeza mke mwingine na kuwa full fledged Mujaheedin na mapete ya fedha mikononi na hata akajenga msikiti pale wizara ya fedha. He was very influential wakati wa mwinyi hata akadhania kuwa angekuwa mgombea wa ccm baada ya Mwinyi!! Alivyoona hakuna jinsi ya kuukwaa urais kupitia CCm ndipo alipohama na kuanzisha NRA ambacho ideology yake principally ilikuwa kutetea Uislam. Mwanae Adam pia alikuwa huko. Akiwa huko NRA mauti ilimfika akiwa London alikokwenda kufuata VIJISENTI vyake alivyoiba akiwa waziri wa fedha bahati nzuri WAHINDI wake wakamuibia fedha zote na ule mshituko wa kudhulumiwa vijisenti ndio uliompeleka mbele ya haki. Huyo Ndio Kighma Allima Malima mzaramo wa mkuranga zamani ikiwa sehemu ya Kisarawe.Hana jema la kukumbukwa alikuwa mtu wa balaa tu!!

Huo ndio UKWELI wenyewe,chungu kumeza,tamu kutema, habari nyingine za wasifu wake ni porojo tupu!
 
Rais Ali Hassan Mwinyi
Waziri wa Fedha Jakaya Mrisho Kikwete
Mwenyekiti wa NRA Kighoma Ali Malima
..................
Akadedi,
mungu wake atamuhukumu
 
Back
Top Bottom