The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 259
are you sure you are ok?Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.
Hakika tunasonga mbele.
Nakubaliana na wewe kawa ni kauli nzuri kabisa, lkn haina vitendo ndio nikadiriki kusema hatujathubutu, hatujaweza wala hatujasonga mbele.Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.
Hakika tunasonga mbele.
Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.
Hakika tunasonga mbele.
mkuu, wengine si watu aisee, ni viatu tucrap kabisa kabisa
Nini viatu huyu ni ndala kabisa///mkuu, wengine si watu aisee, ni viatu tu