Miaka 5 katika NDOA!

Kweli ni jambo la kumshukuru Mungu kufikisha miaka mitano ya ndoa maana nyingine huvunjika miezi michache tu. Nikupe moyo kuwa miaka mitano ya mwanzo wa ndoa ni hatua kubwa, miaka kumi ni matumaini makubwa ...... na kuendelea hadi jubilee ya miaka 25!!! Hapo ni ushindi mkubwa sana na baada ya hapo ni kuwa ndoa ya kuigwa!! Bravo man!
 
mkuu hongera sana ni kweli ndoa ndio msingi wa familia bora kwani ndio mwanzo wa maadili yote ukishaharika tu unazaa mmomonyoko wa maadili
 
pole sana na ongereni sana si mchezo kuna mshikaji wangu kaoa juzi tu;lakini hana ata mda mambo si mambo
 
Hongera MJ, kama ulivyosema miaka mitano ni michache lakini ni mingi sana ndani ya ndoa! Kila la heri na nawatakia wewe na familia yako annivesary njema na pasaka njema huko 'idodomia'.
 
Hommie usinialike kwenye ugomvi na Georgie Porgie! Ngumi niliacha kupigana tangu primary na siku hizi mahanjumati ya shemejio yamefanikiwa kunifanya niwe mchache wa mbio ndefu!😀😀

u guys are funny!... 😀😀
 
Hongera sana mkuu. Mungu awajalie kila lililo na heri na wingi wa baraka. Tuko pamoja.
 
mimi na siku nne legally having my baby with me lkn nimeishi nae miaka sita illegally....
 
mimi na siku nne legally having my baby with me lkn nimeishi nae miaka sita illegally....
 
Hongera sana Mkuu! Mbarikiwe zaidi mfike miaka 50 mkiwa pamoja na mnapendana kama wachumba.
 
Hongera Mkuu kufikisha miaka mitano.kumbe upo ndoani mi nilifikiri.......

Mpwa nimerudi ; ulifikiri nini? Ah zile kuleeeeeeeee ni chai chai tu usihofu mpwa Ni ko ndani ya himaya na leo ndo narudi rasmi dimbani maana honeymoon iliunganishwa na safari za kikazi!
 
Hongera sana kwa kutimiza miaka 17 ya ndoa (kama bado mpo pamoja)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…