Miaka 5 katika NDOA!

Nawapenda pia (hasa ww)mkeo na mwanao juniour,duh but (tunanong'ona)hukuwahi kutoka nje?hongera sana na Mungu mwingi wa rehema na kusamehe akusamehe makosa yako yote uliotenda nje ya ndoa pia awazidishie miaka mingine 5550

Pearl na ww unaingia kwa machale jamani
 
Nawapenda pia (hasa ww)mkeo na mwanao juniour,duh but (tunanong'ona)hukuwahi kutoka nje?hongera sana na Mungu mwingi wa rehema na kusamehe akusamehe makosa yako yote uliotenda nje ya ndoa pia awazidishie miaka mingine 5550

Niliposema mbinu chafu nafikiri nilikuwa nimeongea kiutu uzima! But I will leave to regret it! Ndio maana namshukuru Mungu kwamba I have made this against all oddsπŸ™
 
Hongera zako sana. Mara nyingi watu katika miaka mitano ya kwanza huwa bado katika "honeymoon" baada ya kutimiza miaka hiyo ndiyo shughuli rasmi za majaribuni huanza na watalamu wanasema haya majaribuni huwa ni kati ya waka wa tano hadi wa saba na wakati mwingi hadi wa 10, lakini ndoa moja ni tofauti kabisa na nyingine siku zote haziwezi kushabihiana. Kila la heri Mkuu.
 
Hongera sana mkuu.................can feel it man. Ndoa iz anaza kabisa.
 
Yaani wewe ni mchokozi siku zote. Kwa nini unaleta hizo hadithi wakati tunasherekea miaka 5? Kama ungemuuliza Xpin naamini angekupatia jibu zuri sana,

Mbona umeadimika hivyo?

No Let her be; ndio raha ya hapa JF; sasa mie nikidanganya hapa kesho mkapata version nyingine inatusaidia nini?
 

Mimi nimeshaonja haya katika miaka 5 na naamini kwa nguvu ya Mungu tumevuka basi tuendako ingawa hatukujui kuna matumaini!
 
Masikini Jeuri,
Congrats!!
Kama ulivyosema katika ulimwengu wa sasa hivi si wengi tulio kwenye ndoa tunaweza kufika miaka uliyofika. tumekuwa tunaendesha mapenzi ya kisasa ya i dont give a shit if i remain maried.

Happy double celebration!!

 
Masikini Jeuri,
Congrats!!
Kama ulivyosema katika ulimwengu wa sasa hivi si wengi tulio kwenye ndoa tunaweza kufika miaka uliyofika. tumekuwa tunaendesha mapenzi ya kisasa ya i dont give a shit if i remain maried.

Happy double celebration!!

Ndio wito wangu mkubwa kuwa tuombe kwa Mungu awashushe watu viburi na roho za kibinafsi; roho mbaya kwani tusipoangalia tutakuwa na taifa la watu wasiokuwa na furaha! Taifa la watu wenye visasi tu! Nimejitolea ili wengine wajifunze kupitia kwetu!
 

Nafikiri umewakariri wataalamu kimakosa. Miaka muhimu kwenye ndoa ni ile 5 ya kwanza kwa kuwa ndio unajenga misingi. msingi imara ukishajengwa si rahisi kuuvunja. Ndoa ikiweza kusurvive miaka 5 ya mwanzo mara nyingi hudumu sana.

Ndio maana wengine hushangaa kwa nini ndoa hata kama ina matatizo inaendelea kuvumiliwa baada ya miaka 5.
 
Yaani wewe ni mchokozi siku zote. Kwa nini unaleta hizo hadithi wakati tunasherekea miaka 5? Kama ungemuuliza Xpin naamini angekupatia jibu zuri sana,

Mbona umeadimika hivyo?

hahahaa....... si uchokozi mai dia, si ndio maisha yalivyo..... tusherehekee alkini tuwe wakweli, aimeen open kwa wapendwa wetu.....

unanitafuta eeeeh?Xpin(pin)hawezi nichoma wala simuogopi lolote

hapo kwenye bold kazi nyingi mpz nisamehe
 

Hiyo bold ni muhimu! Ndo maana unaenda kwenye sherehe kama hizo watu wanapiga makofi wakiwa wameangalia pembeni (yaani wapo pale kutimiza wajibu). kama nitatoa mwaliko nataka wapwaz waje na confidence na tuna nyuso za amani na si vinginevyo!

Haileti raha kama unasherehekea umewaalika watu kisha unaomba shughuli iishe mapema siri yako isibumburuke!

Am wit you sis! Ingawa hujajibu hoja yangu nachukulia ukimya wako ni kuwa umeridhika!
 

hoja gani tena jamani MJ? mbona nimejibu.. fafanua basi kidogo bana
 
Easter njema wapwaz na binamz wote; wacha miye niwahi honeymoon according to BAKπŸ˜€

Stay blessed!
 
kaka homgera unakimbiza kuhusu zawadi wooote tunakuja dodoma jikeki ule mwenyewe .ila naomba kuwa camera man ucku .poa kaka
 
Hongera Mkuu kufikisha miaka mitano.kumbe upo ndoani mi nilifikiri.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…