Miaka 45 yatosha kustaafu, Faida za kustaafu umri huu hizi hapa...

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Umuofia kwenu,

Nianze kwa kuwaomba samahani watakaopanic kusikia hili.
Sababu kuu za kustaafu katika umri tajwa zipo nyingi lakini hizi ndizo baadhi nitakazozieleza kwa ufupi.
Katika jamii ya watanzaniia watu wengi wanaogopa kustaafu kwani wanaona maisha yao kuwa yamefika tamati.
1. Ukistaafu mapema utaweza kupangilia fedha zako katika mazingira ya kukufanya uendelee kuishi bila wasiwasi.
2. Mwili wako utauweka sawa kwani umebadilisha mazingira ya kazi mpya unaachana na kufanya kazi kwa mazoea.
3. Utaondoa uoga wa kuingiza pesa kwenye udongo (yaani kujenga nyumba kwa kasi kwa kutumia pension ili kupendezesha utakapozikwa ili usichekwe.
4. Itakupunguzia stress kwa kina mama kuingilia miradi yao na kusababisha mifarakano kwenye ndoa mkigombania kipato.
5. Umri wa kuishi utaongezeka kwa kuwa na shughuli nyingi za kimaendeleo.
6. Wakina mama utawaweza kuwa-kontrol kumiliki fedha kifamilia sio mmoja anakazana kuboresha kwao kwa mtaji wako.
7. Kuongeza ajira mpya kwa watakaojishughulisha na uzalishaji unaotokana na mtaji wa kustaafu.
8. Kuongezeka kwa ajira mpya kwa nafasi zinazoachwa wazi
9. Kupungua kwa matumizi serikalini kwani walio na rank za juu wanalipwa pesa nyingi ambazo zingefaa kulipa watu watatu.
Sababu

Sababu za wastaafu Tanzania kufa mapema.
1. Uoga wa kuacha kazi nzuri yenye mshahara mkubwa kuingia matumizi ya hand to mouth bila Kuzalisha kitu.

2. Serikali kutowatayalisha mapema kama kuwakopesha fedha za miradi ikiamini kuwa mtumishi wa umma kumiliki miradi ni ufisadi.
3. Kutengwa na familiar yako kwa sababu huna kitu tena
4. Ukiingilia mradi wa kina mama tegemea karaha, vituko, ugomvi hata kifo
5. Uoga kuchelewa kuingia kwenye miradi yenye fedha mdogo uliyokuwa unaidharau wakati unaitwa mheshiwa.
6. Kuibiwa sana kwenye miradi mipya kwani una nguvu tena kufiatilia.
7. Uoga wa kumkemea mkeo kuohoji matumizi kwani hofu yako kuachwa, hapa mke uota mapembe rasmi kwani una ujanja tenaunamtegemea yeye.

Kwa sababu hizi serikali kuna aja ya kupunguza muda wa kustaafu na muda wa masomo kama Kenya ili watu wastaafu Mapema. Tayari angalau imepunguza mwaka mmoja kwa primary ifanye hivyo hata sekondari na vyuo.
 
Pia utaweza kuspend vizuri muda wako. Stafu ukiwa unatembelea mkingojo, hatua mbili dakika 27
Yaani hapo mawazo yote yako kwenye kifo, badala ya maendeleo, na serikali huwa kila mwaka una-update pension waangalie kama bado upo, wale waliozoea kupewa nyumba kama kipindi kile cha Mwl. Nyerere, wanastaafu nyumba zinaishia kwenye msingi tu wanakufa.
 
Nasubiria mikopo niliyochukua iishe nifungashe virago by 2023 (hata 38 yrs nitakua bado), muda wa kuitumikia serikali inatosha, sasa ni zamu yangu kujitumikia/kupunguza kupigwa na wasimamizi wa plan B, Cs, pia kupisha wengineo wanaotamani ajira, ajira sio mbaya iwapo tuu utalitambua hitaji lako. kiroho safi sisikii hata wivu wa kukosa stahiki zangu zisizopungua kwa miaka 10.
 
Back
Top Bottom