Binafs asubui nakata 10 km Au pungufu ya apo ila sijawai kuvuka 12km naamkaga Saa 11.. One hour linanitosha.. Baada ya apo naenda kwnye mishe mishe zangu..Mkuu huwa unakimbia kilomita ngap kwa siku?
Muongo na hakuna ukweli wowote rudi QT. Tafuta hela na acha kuishi maisha ya Alinacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uandishi huu,
Namsikitikia huyo mama.
Atakuwa msubi wa Biharamuro huyo
Wapoje mkuuBroh, unawapata vizuri wasubi?[emoji23][emoji23]
Wapoje mkuu
Unakijua kizulu tubonge?!
Ina maana hujui kutofauyisha r na l, umenikera hadi nimeshindwa kumalizia kusoma uzi wote. Eti Mpila badala ya Mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakijua kizulu tubonge?!
Kunjani?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Hish! Twende PM hapa tutaharibu uzi.
Sijasoma nimeangalia title tu:-
Nani mwenye miaka 37? na Nani ana miaka 24?
Nwanamke ni nani? Ni huyo wa 24 au 37?
Mtoa mada ndio 24 au 37?