technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Mrema- agent
Cheyo-agent
Lipumba-agent
Slaa-agent
Mbowe-agent
Safari-agent
Baregu-agent
Zitto-agent
Bulaya-agent
Mdee-agent
Seif-agent
Kafulila-agent
Katambi-agent
Mashiji-agent
Yeriko-agent
Malisa-agent
List ni ndefu Sasa naona Lissu kakataa masharti ya kutapeli wananchi kaenda kufanya iwe kweli je Nani atashinda hii battle?
Matapeli wa upinzani, Serikali ya kinyonyaji na kifisadi au aliyesimama na wanachi?
Nakataa,wengi hawaingii kwa dhamira ya kuwa matapeli,bali pesa inawafumba macho haswaa,wanajikuta wamesaliti.Mrema- agent
Cheyo-agent
Lipumba-agent
Slaa-agent
Mbowe-agent
Safari-agent
Baregu-agent
Zitto-agent
Bulaya-agent
Mdee-agent
Seif-agent
Kafulila-agent
Katambi-agent
Mashiji-agent
Yeriko-agent
Malisa-agent
List ni ndefu Sasa naona Lissu kakataa masharti ya kutapeli wananchi kaenda kufanya iwe kweli je Nani atashinda hii battle?
Matapeli wa upinzani, Serikali ya kinyonyaji na kifisadi au aliyesimama na wanachi?
We zombie Lissu kafanya lipi kuwazidi hao uliowataja? We kwl toto la juzi. Kuna mtu alipambana km maalim Seif? Aliishia wapi? Lissu nyau tu asiye na wafuasi ila ana misukule wa humu mitandaoni. Maalim alikuwa Pemba yote na wafuasi wengi tu huku bara, sasa lofa asiye na ht na mfuasi Zanzibar maana huwa anawatukana na kwamba akipata madaraka cha kwanza ni kuvunja muungano, atavunjika yeyeMrema- agent
Cheyo-agent
Lipumba-agent
Slaa-agent
Mbowe-agent
Safari-agent
Baregu-agent
Zitto-agent
Bulaya-agent
Mdee-agent
Seif-agent
Kafulila-agent
Katambi-agent
Mashiji-agent
Yeriko-agent
Malisa-agent
List ni ndefu Sasa naona Lissu kakataa masharti ya kutapeli wananchi kaenda kufanya iwe kweli je Nani atashinda hii battle?
Matapeli wa upinzani, Serikali ya kinyonyaji na kifisadi au aliyesimama na wanachi?
Nyau mama yakoWe zombie Lissu kafanya lipi kuwazidi hao uliowataja? We kwl toto la juzi. Kuna mtu alipambana km maalim Seif? Aliishia wapi? Lissu nyau tu asiye na wafuasi ila ana misukule wa humu mitandaoni. Maalim alikuwa Pemba yote na wafuasi wengi tu huku bara, sasa lofa asiye na ht na mfuasi Zanzibar maana huwa anawatukana na kwamba akipata madaraka cha kwanza ni kuvunja muungano, atavunjika yeye
sisi tuendelee kuomba MunguMrema- agent
Cheyo-agent
Lipumba-agent
Slaa-agent
Mbowe-agent
Safari-agent
Baregu-agent
Zitto-agent
Bulaya-agent
Mdee-agent
Seif-agent
Kafulila-agent
Katambi-agent
Mashiji-agent
Yeriko-agent
Malisa-agent
List ni ndefu Sasa naona Lissu kakataa masharti ya kutapeli wananchi kaenda kufanya iwe kweli je Nani atashinda hii battle?
Matapeli wa upinzani, Serikali ya kinyonyaji na kifisadi au aliyesimama na wanachi?
We naye ni tapeliWe zombie Lissu kafanya lipi kuwazidi hao uliowataja? We kwl toto la juzi. Kuna mtu alipambana km maalim Seif? Aliishia wapi? Lissu nyau tu asiye na wafuasi ila ana misukule wa humu mitandaoni. Maalim alikuwa Pemba yote na wafuasi wengi tu huku bara, sasa lofa asiye na ht na mfuasi Zanzibar maana huwa anawatukana na kwamba akipata madaraka cha kwanza ni kuvunja muungano, atavunjika yeye
Agent wa kuhujumu maslahi ya wanachiIkiwa Agent tafsiri yake ni kiunganishi kati ya mtu na mtu, taasisi na taasisi, serikali na wananchi,
Basi hata Tundu lissu ni agent,
Sababu Lisuu ni agent wa wananchi kupeleka agenda ya watanzania ya no Reforms no Election.
Kila mtu ni agent.
Uliowataja ungewaweka kundi la " Double Agent" ningeelewa.
Japo Dr Slaa uagent wake ni nzuri maana ni kwa maslah mapana ya nchi yetu.
Zanzibar ina watu wangapi, si kama kata hapo morogoro?We zombie Lissu kafanya lipi kuwazidi hao uliowataja? We kwl toto la juzi. Kuna mtu alipambana km maalim Seif? Aliishia wapi? Lissu nyau tu asiye na wafuasi ila ana misukule wa humu mitandaoni. Maalim alikuwa Pemba yote na wafuasi wengi tu huku bara, sasa lofa asiye na ht na mfuasi Zanzibar maana huwa anawatukana na kwamba akipata madaraka cha kwanza ni kuvunja muungano, atavunjika yeye