Miaka 3 katika uchumba ila...

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Salaaaaaaaaaaam!

Polen kwa majukumu wana MMU,leo nimeamua kufunguka yaliyomo moyoni mwangu.Nina mchumba ambae nipo nae kwa muda wa 3years na mwaka huu ni wa nne,

kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.

Kiukweli kwa upande wangu huyu dada hayupo moyon mwangu kabisa niwe mkwel na ilitokea nikawa nae kupitia rafk yangu ambae tulikua tnatania,mi nkasema nampenda yule mtoto 'kiutani'lakini yeye akafikisha ujumbe na mtoto wa watu kaniganda hadi leo.

Naumia sana anaponipigia cmu na kuongea,kiukwel sijawah mwonesha dharau yoyote ila hayupo moyon mwangu,wana MMU najua hapa ni mahali penye ushauri mzuri naombeni mnishauri nifanyeje?

Nakiri nilikosea tangu mwanzo kuwa nae,sasa nifaneje?
 
Sasa kwanini hukuachana nae kiutani? kama kweli ulikua unatania, ingebidi usimkaribie au kuwa na mahusiano nae, wewe umemtumia dada wa watu sasa hivi, unaleta hizi
 
Najua nimefanya vibaya ila naitaji ushauri zaidi.
 
Mr Rocky nina miaka 26,nadhan kukua hapo si sababu naomba t unishauri,najua nimekosea sana sasa nifanyeje?
 
Last edited by a moderator:

Kua basi na ufanye mambo ya maana na miaka mitatu uko na huyo dada unampotezea muda wake mwambie kweli acha kumzuga na mapenzi ya uongo wakati huna mpango nae
 
tukushaur namna ya kumuweka moyon au kumuweka ndan??
 
HARUFU ni kweli kaka najua nimekosea,daaaah
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa.. You are dead meat kama na yeye yumo humu na kasoma thread yako.
 
^^
Anaependwa hajui thamani ya kupendwa mpaka apende asipopenda
^^

ha ha haaaa! Kijana na maneno yako hayo! Yaan najitahid kuvuta picha jinsi ulivyo lakin naipata taswira flani hivi
 
Ok rocky ntafanyia kazi ushauri wako,ujue kwa kipindi kile sikua faith kiukweli ndio maana nkamdanganya but now inaniumiza kufanya maamuzi,
Kua basi na ufanye mambo ya maana na miaka mitatu uko na huyo dada unampotezea muda wake mwambie kweli acha kumzuga na mapenzi ya uongo wakati huna mpango nae
 
Ok rocky ntafanyia kazi ushauri wako,ujue kwa kipindi kile sikua faith kiukweli ndio maana nkamdanganya but now inaniumiza kufanya maamuzi,

Inakuumiza nini wewe wakati wewe humpendi ila yeye anakupenda kwa dhati
Wewe huna mpango nae ila yeye anakupenda tell her mapema ili asijisumbue kukupenda wakati huna mpango nae wala humpendi
 
Naombeni mnishauri ndugu zangu napenda niwe mkweli sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…