puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,057
- 2,195
Kama stori ni ya kweli, huyo anatatizo la kisaikolojia..kitu ambacho ametengeneza kwenye akili yake...sex ni tendo LA kikatili na lenye maumivu makali. Kwa sababu siku ya kwanza kufanyiwa hilo tendo moja haikuwa ridhaa yake, pili jamaa alimuumiza sana bila huruma ni sawa na mtu aliebakwa generally bila kuwekwa sana kisaikolojia hilo tatizo haliwezi Kuisha .
Si jambo la siku moja, ila linahitaji muda kidogo wa kumbadilisha mtazamo juu ya jambo hilo.
Si jambo la siku moja, ila linahitaji muda kidogo wa kumbadilisha mtazamo juu ya jambo hilo.