Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,499
- 113,610
mmepigwa ganzi mayalla,kwani wanaokosoa wanakiona cha moto,wengi wanavizia mkate kupitia asante ya sizo kwa aidha uteuzi au vinginevyo.si unajua njaa mbaya sana hupofusha uwezo wa akiliWanabodi,
Naangalia kipindi cha Jito Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV, kikijadili miaka miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, jee media ya Tanzania, imetimiza wajibu wake as a watchdog of the society kwa kufanya tathmini ya performance ya Magufuli, with objectivity na impartiality?.
Panelists ni Edwin Soko na Yohani chini ya moderation ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wamepiga madogo makubwa mwanzo mwisho, kuhusu role ya media yetu, katika uwezo wa kufanya tathmini kwa kutumia analytical reporting kwa kuitathmini miaka miwili ya Magufuli, kwa kuzungumzia mafanikio yake, lakini pia kuzungumzia mapungufu yake, au kwa kuikosoa , badala yake media imekuwa ni sehemu ya wapiga debe wa Magufuli kwa kusifu tuu, kuwa Magufuli amefanya hiki, amefanya kile, lakini hakuna ukosoaji wowote, wenye nia ya kujenga, hivyo kumuonyeshea Magufuli is so perfect as if Magufuli ni malaika.
Wachangia mada wamesema katika mijadala mingi ya kutathmini utendaji wa Magufuli, wanaitwa kutoa tathmini ni mawasiri na watendani wa serikali, yaani unaitathmini serikali kwa kuwaita waserikali wajitathmini, objectivity itatoka wapi?.
Tathmini ya kweli ya mi iaka miwili ya Magufuli, ilipaswa kufanya na watu independent walio nje ya mfumo wa serikali, kama private sector,civil societies na media ambayo ndio ina wajibu wa kuwa ni jicho la jamii kwa serikali, na jicho la serikali kwa jamii, lakini media yetu imeelezewa kushindwa kabisa kuitathmini serikali ya Magufuli objectively, hivyo imeshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.
Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.

Bulendu amesema, kati ya vitu vikubwa kabisa ambavyo media haiwatendei haki Watanzania, ni kutoonyeshwa live kwa Bunge live, ametoa rai kwa serikali kupitia kwa Waziri Mwakyembe, kuliangalia upya na kuwatendea haki Watanzania
Kipindi kimekwisha
Paskali
Kichwa cha habari hii kimenishawishi nisisome andiko lako bali nikuambie kitu wewe Pascal MayallaWanabodi,
Naangalia kipindi cha Jito Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV, kikijadili miaka miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, jee media ya Tanzania, imetimiza wajibu wake as a watchdog of the society kwa kufanya tathmini ya performance ya Magufuli, with objectivity na impartiality?.
Panelists ni Edwin Soko na Yohani chini ya moderation ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wamepiga madogo makubwa mwanzo mwisho, kuhusu role ya media yetu, katika uwezo wa kufanya tathmini kwa kutumia analytical reporting kwa kuitathmini miaka miwili ya Magufuli, kwa kuzungumzia mafanikio yake, lakini pia kuzungumzia mapungufu yake, au kwa kuikosoa , badala yake media imekuwa ni sehemu ya wapiga debe wa Magufuli kwa kusifu tuu, kuwa Magufuli amefanya hiki, amefanya kile, lakini hakuna ukosoaji wowote, wenye nia ya kujenga, hivyo kumuonyeshea Magufuli is so perfect as if Magufuli ni malaika.
Wachangia mada wamesema katika mijadala mingi ya kutathmini utendaji wa Magufuli, wanaitwa kutoa tathmini ni mawasiri na watendani wa serikali, yaani unaitathmini serikali kwa kuwaita waserikali wajitathmini, objectivity itatoka wapi?.
Tathmini ya kweli ya miaka miwili ya Magufuli, ilipaswa kufanya na watu independent walio nje ya mfumo wa serikali, kama private sector,civil societies na media ambayo ndio ina wajibu wa kuwa ni jicho la jamii kwa serikali, na jicho la serikali kwa jamii, lakini media yetu imeelezewa kushindwa kabisa kuitathmini serikali ya Magufuli objectively, hivyo imeshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.
Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.
Edwin Soko anasema media haikuwatendea haki Watanzania, kwa media kusifu tuu kila anachofanya Magufuli bila kufanya analysis, what does that mean.
Bulendu amesema, kati ya vitu vikubwa kabisa ambavyo media haiwatendei haki Watanzania, ni kutoonyeshwa live kwa Bunge live, ametoa rai kwa serikali kupitia kwa Waziri Mwakyembe, kuliangalia upya na kuwatendea haki Watanzania
Kipindi kimekwisha
Paskali
Ni kweli, sio tu haifai bali ni "kufanyia usanii wananchi" kwa vyombo vya habari kutumia mawaziri na akina Dk Abbas kufanya tathmini ya miaka miwili ya Rais Magufuli. Lakini pia, akina Soko wanapaswa kufahamu kuwa vyombo vya habari pia vinatakiwa kuwa makini zaidi kwenye kufanya selection ya sources hata kutoka kwenye sector binafsi. Kwa mfano, kwa mwelekeo ulivyo ni "kufanyia usanii wananchi" kwa chombo cha habari kutumia watu wa aina ya mzee Simbeye wa sekta binafsi kufanya tathimini ya miaka miwili ya Rais Magufuli! Media kusifu tu kila kinachofanywa na Rais Magufuli ni msiba mkubwa mno kwa nchi. Inasikitisha mno mno mno!Wanabodi,