Sauti ya Umma
Member
- Aug 26, 2010
- 40
- 24
- Thread starter
- #21
Miaka 17 bila Diwani au mwenyekiti wa kitongoji
Usiseme kitu ambacho hukijui. Kusema uongo ni kosa kubwa sana,hasa kwa mtu kama wewe
Miaka 17 bila Diwani au mwenyekiti wa kitongoji
Chama au genge la wahuni
Happy birthday SAU
Ofisi zenu zipo wapi?
Vyama vingi sema zilezile za sisiemu nyie si walewale sisiemu tu
Nyie kama sauMakao makuu yapo magomeni kagera jijini dar es salam
Kwani chadema walipata wabunge wangapi? Huyo mmoja ndo anakufanya uhoji SAU ina wabunge wangapi?Hebu tupatie Safi ya uongozi tuone, na mna wabunge wangapi? Mmeshiriki vipi kwenye mchakato wa kudai Katiba mpya?
Napenda kujiunga na chama mkombozi wa wakulima kwa vitendo, mna tawi hapa Unguja?Makao makuu yapo magomeni kagera jijini dar es salam
Kama mikakati ya kuiondoa CCM madarakani waulize chama kikuu Cha upinzani, hao SAU unawapa jukumu ambalo hawastahili.Nyie kama sau
Mikakati yenu ni ipi ili kuiondoa ccm madarakani?,ilihali mnafahamu watendaji wa tume yote ya uchaguzi wanateuliwa na mwenyekiti wa ccm.
Kidogo waibe bendera ya Chadema (rangi)
Wapi naweza pata kadi ya chama? Mkazi wa Butiama ila nipo Serengeti
Safi,umehoji maswali muhimu sana hiki Chama hakina tofauti na Chama cha Biblia TanzaniaSauti gani ya umma mliitoa?
Kwenye mijadala ya katiba hampo.
Mijadala ya kujadili udhaifu wa bunge hampo.
Ukosoaji wa serikali hampo.
Sasa sauti gani mnayoisema?
Kamati kuu ya ccm chini ya mwenyekiti wa ccmMwenyekiti wake ni nani?
SawaKamati kuu ya ccm chini ya mwenyekiti wa ccm
Seen
Yalikwisha hama pale Legho?Makao makuu yapo magomeni kagera jijini dar es salam
Yalikwisha hama pale Legho?