Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Hongera sana mkuu!
Leo ukamtayarishie (sio kupika, wanaume hawapiki wanatayarisha - prepare) mama matesha machalari ya kiti moto, lakini make sure umekitoa bandani mwenyewe---mdudu wa mbeya anapewa ARVs

Hahahaha! Kiongozi umeniharibia mbavu zangu! Dah!

Sitapika bana, ntaprepea machalari ya kitimoto cha kurosti!
 
Hongera sana ndugu yangu. Naona ngoma inakaribia kwenda droo.

Tuwasaidie vijana wafuate nyayo.
 
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:

Ulabu umekusaidia.....! Tafadhali, usije acha hiyo, waweza kuvunja hiyo ndoa yako....!
 
hongera sana kiongozi, mama inaonyesha katika miaka yote hiyo 10 kavumilia mengi sana!big up shemeji!!!!!!!
sasa mbona hujanitendea haki kwenye kale kafevareti batani kangu?
 
Mkuu tunasubili hiyo sherehe kiongozi Kaizer umesha wasiliana nae?

Na mzigo wa Valuu weka wa kutosha sana mm nitakuja na mchumba.

Mkuu hongera sana! Miaka kumi si mchezo...lakini nadhani vingine umeficha...Matesha amekukokota ulivyokuwa unalewa unalala barabarani na ulabu wako kwa kweli amevumilia mengi ni jambo kubwa umefanya kumshukuru....

Fidel80 nitakuja na ile yetu ya kienjeji kutoka moshi "Gongo" mkuu Asprin anaijua hii...Mi sina wa kuja nae...yeyote anayejitolea ani pm tuende wote...kwenye hiyo sherehe
 
Hilo ndilo neno la kaunta!

Kama sio ulabu usingefika hapo (10years). Na ukitaka kujua ukweli, jaribu yafuatayo;

  1. Acha ulabu, na uanze kushinda nyumbani kwako na familia yako...!
  2. Ongeza mahudhurio yako kanisani...!
  3. Jaribu siku moja kuonesha kuchukia kitu, na kumpa madongo kiasi.
  4. Jaribu kutaka kumfahamu mkeo zaidi ya hapo.....!
 
Kiongozi mimi na ulabu ni marafiki...haijawahi kunitenda kiasi cha mama matesha kuja kunikokota....kama huna wa kuja naye ntakuazima dada yangu nyamayao...kizuri kula na nduguyo!:welcome:
 
Another Year
Another year to create
precious memories together.
Another year to discover
new things to enjoy about each other.
Another year to build
a life rich in love and laughter.
Another year to strengthen
a marriage that defines “forever.”
Happy Anniversary!

Congratulation brother!
 
Hujui kuwa infii ndio zilinipa mauzoefu ya kuitunza ndoa yangu? 10 solid years siyo joke! I deserve standing ovation....karibu zero pub leo jioni...kuna ka geti tugeza ka kumpongeza biggie!

Ah ah...wat shud give u strength na hayo mauzoefu shud be 'her!'
Na siyo hao wa pembeni...
Asante kwa invitation...nitajitahidi niwepo hapo!
 
Kama sio ulabu usingefika hapo (10years). Na ukitaka kujua ukweli, jaribu yafuatayo;

  1. Acha ulabu, na uanze kushinda nyumbani kwako na familia yako...!
  2. Ongeza mahudhurio yako kanisani...!
  3. Jaribu siku moja kuonesha kuchukia kitu, na kumpa madongo kiasi.
  4. Jaribu kutaka kumfahamu mkeo zaidi ya hapo.....!

Hehehehe! nilijaribu siku moja kukaa nyumbani baada ya kutoka kazini. Nyumba nzima watu walikuwa mabubu. watoto wanataka kuangalia katuni, mi niko bize na CNN. mpaka mama yao aliponiambia LEO HUTOKI?
 
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
?
Asante mkuu hata mimi bado ninamajeraha ya hnymooon maana nijuzi nilisherekea tarehe 30/09/2010 simchezo hapo kati niuvumilivu mkubwa mungu akubariki na familia yako ameni mwenye masikio asikie.
 
Kiongozi mimi na ulabu ni marafiki...haijawahi kunitenda kiasi cha mama matesha kuja kunikokota....kama huna wa kuja naye ntakuazima dada yangu nyamayao...kizuri kula na nduguyo!:welcome:

Usiusemee moyo wa Nyamayao mwache aseme mwenyewe...
 
Kiongozi mimi na ulabu ni marafiki...haijawahi kunitenda kiasi cha mama matesha kuja kunikokota....kama huna wa kuja naye ntakuazima dada yangu nyamayao...kizuri kula na nduguyo!:welcome:

Eliza anauliza vipi mwaliko wake au ndio :A S 100::A S 100:kwanza anasema ana siri zako nyingi sana kwahiyo yeye kukosa hiyo sherehe itakuwa haumtendei haki kwenye pongezi zako naye mjumuishe maana amekuokoa sana
 
Sasa babu miaka yote hiyo si uachie basi nature??? Maana kama kuhunt umeshahunt sana na kama kudiscover umeshadiscover mpaka vinajirudia...... honor your marriage
 
Back
Top Bottom