financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Ndio namshangaa RRONDO, kwani we miaka yote kweli bila bila?
Ndio nishangae! Turudi basi kwenye ule uzi tuteme sumu kule..haha amu
Sawa Eli nisubiri hapo hapo tuongozane.Nifuate tu Paula, nakusubiri kona ya pili tu hapa.
Ndio nishangae! Turudi basi kwenye ule uzi tuteme sumu kule..haha amu
Asante RRONDO. Kichwa hapa kimevimbaHuyu Paula Paul ana akili sana, ananikumbusha Nalendwa sijui siku hizi anajiita nani?
Kanivimbisha kichwa hatari. Hapa nahisi kimekuwa kikubwa hadi mwili unashindwa kukibebaTulia hapo hapo mkuu! Ukiongea kwa nguvu unaharibu.
Alichosema hakina tofauti na mtazamo wangu Paula. Vimba tu kichwa coz unapewa sifa zako haswa.Kanivimbisha kichwa hatari. Hapa nahisi kimekuwa kikubwa hadi mwili unashindwa kukibeba
Ha ha ha enzi hizo kulikuwa na nyuzi ngumu,kujibu mpaka ujipangeHongera sana mkuu, mimi hiyo 2006 nilikua std 7 aisee,hapo hata sijui kama ningekuja kumiliki smartphone. Uko vizuriivipi enzi hizo kulikua na nyuzi kama za kulana kimasihara nk pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Eli.Alichosema hakina tofauti na mtazamo wangu Paula. Vimba tu kichwa coz unapewa sifa zako haswa.
Ila katika members niliokuwa nawatamani wewe ni mmoja wao sema nyota sina halafu domo zegeππ
nitasubiri uanze! Huwa napenda kuwa wa mwisho...
Doh nina nini mimiπππ hata mtu angesema anilipie nitamuomba anipe tu hiyo laki ninunue mbogaDada yake nilipie.
Unarenew kila mwaka.
Haha si vyuma vinakaza jamani brod darling. Happy new year to you and yoursSis darling, lugha hii jamani.. happy new yr.