habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
vuta bangi na kunywa gongo utakuwa mcheshi na matusiTatizo sio wewe ndugu yangu, Tatizo masomo yako uliyosoma tangu sekondary yanakufanya uwe hivyo kwani nyie mnakuwaga mabukuworm kinoma. Usihofu kuna uwezekano ukajao house girl wa ndugu yako kama hutaopoa baa made maana mna historia za kushinda baa baada ya kumaliza masomo. Take care.
Hivyo hivyo utawapata kijana mi nimewapata sana kisa eti wananiona mpole, we kaka mpole nimekupenda kumbe nimeamua tu kuuchuna.
Soma mtoto mzuri, ukimaliza ndo utafute mchumba.masomo yangu nayo huchangia, mambo magumu in a way nayawaza kila saa, so sense of homour nitaitolea wapi mwenzangu?
You think so???
Sometimes we laugh at your silly jokes just to be nice tu!
Kuwa ww bac utapata tu....ingawa yo too yung.Angalia ucje ukamwagiwa shombo mipaka ya hotel ikakudandia.
miss strong:maneno hayoooooo...
Mara ukute huyo dada anayehadithiwa ni mwana JF na keshazisoma hizo jokes!Hahahahahaaaaaa... We mcheshi bana, maana hata hii thread yako imenichekesha...
Anyway, fanya hivi... ingia kule jukwaa la jokes, then kremu huko posts zinazochekesha. Kila ukiwa na wadada utakuwa unazihadisia...
Hata mimi hii kitu ilinitesa sana.tatizo ni kwamba hajatokea wakumpenda akitokea vitu vinateleza vyenyewe shaaaaah!!,,Jaribu jaribu na other stimulants lyk ..Beer,Konyagi,Wine huwa vinasaidia.habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
kaka thanx sana, ushauri wako ntautilia maanani, bt tatizo hili unitokea zaidi napokuwa karibu na msichana naemfil, kwa wagonjwa cdhani kama itaweza tokea,mmmh sasa utaifanyaje kazi ya kidaktari ukiwa na uso wa mbuzi best? wagonjwa si watakuwa wanakufa au hawaponi kabisa duuu..
hope umesoma psychopathology hapo chuo, ukifatilia vizuri ktk topic ya personality disorders utajijua wewe una shida gani, hiyo itakurahisishia kubadilika na kupata mwanamke atakaeendana na wewe. uwe na amani, jitahidi kusocialize na watu tofauti tofauti, jichanganye na jifahamu vizuri. itakusaidia kupata ubavu wako.
Hivyo hivyo utawapata kijana mi nimewapata sana kisa eti wananiona mpole, we kaka mpole nimekupenda kumbe nimeamua tu kuuchuna.
kaka thanx sana, ushauri wako ntautilia maanani, bt tatizo hili unitokea zaidi napokuwa karibu na msichana naemfil, kwa wagonjwa cdhani kama itaweza tokea,
hapo kwenye red mi ni dada. inawezekana hujiamini, hasa ukimuona mtu unaempenda unakosa pozi. ebu jaribu kujievaluate ni kitu gani hasa kinachokufanya ushindwe kuongea ukiwa na unaemfeel. je ni woga,? kutojiamini? au unajichukuliaje we mwenyewe kiujumla?
inajitokeza tu yenyewe, moyo hudunda sana, na mdomo hukauka, nabaki kumtazama tu, cha ajabu binti akinitamkia ananipenda, hapa bomba nakuwa free nae hadi raha, xo hii hutokea napomtafta kabla hajakubali.