habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
usijali.wapo watakaokutongoza wewe, kazi kwako kusema ndiyo au hapana huku umeinama chini unauma uma vidole
Yule demu bado mnachukuliana kaka na dada au umeshafunguka.....Hizi topic zako mbili zimeshaniambia wewe ni mtu na namna gani na nahisi kama naliona tatizo lako japo kwa mbaaaaaaaaaaaali
hahaha... vipi yule anayekuona kama kaka??? ushakata tamaa au? We docta una shida sana...
Huu ushauri au matusi?
masomo yangu nayo huchangia, mambo magumu in a way nayawaza kila saa, so sense of homour nitaitolea wapi mwenzangu?
...hahahhahhhha aaaaaa daah..jf jf jf !! nimecheka sana,wakati mwingine watu wanaweza kukushangaa kumbe unasoma nyizi kwenye jfHahahahahaaaaaa... We mcheshi bana, maana hata hii thread yako imenichekesha...
Anyway, fanya hivi... ingia kule jukwaa la jokes, then kremu huko posts zinazochekesha. Kila ukiwa na wadada utakuwa unazihadisia...
siku hizi wapo wanawake wenye ujasiri wa kumfuata mwanamme na kumtaka kimapenzi.kama ulikuwa haujui hilo ndiyo nakupa taarifa hivyo.ninaye rafiki yangu ambaye alikuwa mpole, binti kamtokea, akamfukuza, ila binti hakukata tamaa.kwa sasa wanaishi kama mke na mume na wana mtoto mmoja.
Jamani, si huyuhuyu kanambia sina sense of homour, nabore na sina stori, nipeni ushauri jamani, sitaki kumkosa, wengi tunaosoma science ndo weaknes yetu.
Yani huyu doc sijui kama disco litamuacha mwaka huu,maana anaziwaza tu sketi
Yani huyu doc sijui kama disco litamuacha mwaka huu,maana anaziwaza tu sketi
Haihitaji ucheshi wala stori nyingi... siku ukikutana na atakayeujaza moyo wako utajishangaa jinsi utakavyofunguka na kuanza kumwaga point na wala hautajua hayo unayoyasema yanatoka wapihabari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
Duh hi kweli noumaa! So kumbukumbu zao mke ndo husimulia mume alivyomsumbua akimtongoza! Bahati ya hivi ikiangukia hakiamungu siachi kwanza itanipunguzia stress nijisomee kwa bidii. Nimekuelewa but uliipresent vibaya!
ahaa... ndo nakuelewa sasa.. huwezi kujifunza kuchekesha bila kua na uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka.. cha muhimu kuwa social(jamiiana), ongeza interaction na watu sanaa... then utakua mchangamfu na itakusaidia kuwa muongeaji mwenye comfidence na atakupenda.. otherwise nenda short course kwa mpoki...
Assume ni wewe, nikija kwa kujiamini tu nakupata?
Nipo hosteli masaki bro
Hahaha... yea! ajaribu kusocialize kisela...Hapo blue jamani
Usimfanye akenda baka mtoto wa watu, anachukulia mambo kama yalivyo
Nadhani ni confidence na self esteem, you never know childhood experience yake.
Hivi unajua kiwewe cha semister ya kwanza wewe??
Una mahela ya boom, sketi zinapita karibu na bafu lako afu huna hata moja ya kukutolea mawazo?
Utabaka hata papai
Funguka kaka, tatizo nini? Utakuwa umenisave.