aiseee hapa ni kwa vile mwanaume kapeleka umbea.
Angekuwa mwanamke habari ingekuwa tofauti kabisa,
we utakubalije mwanaume mwenzako akuletee maneno
Hili litakuwa limbwata la kimombasa.
Nimejaribu kusoma mazingira ya hao ndugu na wala sijashawishiwa na jinsia zao kutamka hayo...kumbuka aliyempasha habari huyu mleta mada ni shemeji yake yaani kaka wa mkewe.
Huenda ukawa ni umbea vilevile huenda ukawa ni ukweli...suala la mleta mada kudhania moja kwa moja kuwa huo ni umbea kwa asilimia fulani huenda uamuzi huo ukawa majuto mbeleni...
Ilipaswa afikirie jambo moja kuwa, ama mleta habari ni muongo/mfitini au mkewe anazo kasoro kama alivyotaarifiwa...
Hivyo alipaswa achunguze hizo pande zote mbili best...kupuuzia habari si kutatua tatizo bali ni kulihairisha tu.
Huyu jamaa hata simuelewi, je kama ni familia imemtuma huyo kaka mtu aje amuambie ukweli?? Sasa mke wake c ameshajua mbaya wake?? na sasa anaweza akawa ndo anafanya kwa siri kubwa au kubadilisha mbinu.
Sio kila jambo ni umbea, kuna mambo mengine kaka hawezi kumkataza dada yake hasa akiwa mke wa mtu, pia wazee wakati mwengine hawawezi kusema na mtoto wao... kwahiyo hiyo ilikua ni kama taarifa ya kuifanyia kazi na kama hujaharibu ungeona matunda yake. Ulitakiwa utueleze kabla hujamwambia mkeo sasa sijui kama itasaidia tena. Naongea haya nikiwa na experience ya watu kadhaa waliopewa taarifa fulani na mashemegi zao mwisho wa siku wanagundua ni kweli. Jamani si kwamba kila mke ni mwema, miongoni mwetu wamo wanaishi na wanga, cd's, freemasons, usalama wa taifa, traitors etc. kwahiyo ukipewa taarifa fanya kama unaipuuza halafu unaifanyia kazi.. Great thinking...Huyu shemeji yangu kaniita kando na kunieleza habari kibao kati yake na dada yake ambaye ni wife wangu,kwa umakini sana akiwa anataka mi nianze kumfuatilia wife ila bila kumueleza kama nafanya hivyo.hiyo ilikuwa jana.
Baada ya kukaa na kufikiria sana juu ya kazi ya kuanza kumfuatilia wife kwa siri,nimeona kama namsariti hivyo nimeamua kumueleza kila kitu alichoniambia kaka yake,sasa nina amani.
Najua kuna kasumba ya watu kutegemea kwamba mwanaume akipewa siri za mke wake anapaswa asimueleze mi nimeona kama huko ni kutaka kuniblackmail na kuingilia ndoa yangu hivyo nimeweka wazi na ninajua kesho wife atamchana sana hivyo akiamua kuacha kuniletea umbea wake aache nitaupata kutoka kwa watu wengine na hao wakiniletea namueleza pia.
Alaaaa
Ameshaharibu sasa... kajifanya anampenda saaaaana mkewe kamwambia.... kushnehi...ingekuwa dadake na mkeo kaleta hzo habari ungesema anakutaka, lisemwalo lipo na kama halipo laja. chukua hatua either + or -, kujua ukweli uko wapi.
wajinga kama ndio waliwao utakula jeuri yako wewe Sangararasio kila jambo ni umbea, kuna mambo mengine kaka hawezi kumkataza dada yake hasa akiwa mke wa mtu, pia wazee wakati mwengine hawawezi kusema na mtoto wao... Kwahiyo hiyo ilikua ni kama taarifa ya kuifanyia kazi na kama hujaharibu ungeona matunda yake. Ulitakiwa utueleze kabla hujamwambia mkeo sasa sijui kama itasaidia tena. Naongea haya nikiwa na experience ya watu kadhaa waliopewa taarifa fulani na mashemegi zao mwisho wa siku wanagundua ni kweli. Jamani si kwamba kila mke ni mwema, miongoni mwetu wamo wanaishi na wanga, cd's, freemasons, usalama wa taifa, traitors etc. Kwahiyo ukipewa taarifa fanya kama unaipuuza halafu unaifanyia kazi.. Great thinking...