Mi ndoo maana nachelewa kuoa

Weeeee...kwai nani kakuambiwa kuoa ndo mwisho wa kula hotelini?
 
Mi naona ni watu hao, yaani wasichana warembo na siyo vitu!
 
Kuoa nini bana we kula vitu roho inapenda.nasikia vichic new edition toleo la miaka ya 90 too hot dont miss
 
kweliii nimeamini msemoo wa inspectir haroun....WASIO TAKAA KUOWAA WAZIZI TU,usidate na uzuriii wa njee mazeee mashene yawezekana mbovu,ilaa man next time usichukue pichaa ya mtu face buk ukawekaa hapaaa utafungwaaaa:A S thumbs_down:

Ndio maana siipendi Facebook, kutoka moyoni.
 

Huu sasa ufataki!
 
Mkuu kweli wewe ni balaa..., yaani hapo ni to mention just a few..., mimi nilidhani umewamaliza wote!!!!!!
 
Mbona kawaida tu, warembo wengi ukichelewa utaolewa wewe.
 
Remember always beautiful are not yet born, kama unasubiri azaliwe jua ndio siku zako za kwenda udongoni zinavyosogea.
 
samaki wa mapambo haliwi(golden fish)tafuta samaki wa msosi kitoweo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,unakuta mashine za hao wa mapambo,mbovu kubwa zimetumiwa sana,,,,na wengi,....tafuta wa msosi mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…