Mbona hii mizigo ya kawaida - ila gonga design zote kabla ya kuoa (weupe, weusi, wafupi, warefu, mitindi mikubwa, mitindi midogo, miguu ya convex, miguu ya concave, wakubwa kwa umri, wadogo kwa umri, namba 8, namba 7, uswazi, geti kali, highly educated, less educated, just to mention few)