Mi ndoa sitaki labda unigegede tuuuu

Mi ndoa sitaki labda unigegede tuuuu

Habari wana MMU

"Mi ndoa sitaki kwa kweli napenda unavyogegeda na huo mgegedio wako"
"Nimetembea na wengi ila hakuna aliokidhi haja zaidi ya wavulana 15 natafuta mithili yako ila cjamuona"
"Nimeshaoneshwa mkeo na kwako nimeshaoneshwa kwa hio usipokubali kurudiana na mie wala usiwe na hofu mi sitaki uniowe ila nataka nitapokuhitaji kimapenzi unifike na km unadharura nukupate ndani ya siku 2 zitazofuata"

Hayo ni maneno ya mpenzi wa zamani baada ya kuonana leo.
Nimeachana nae miaka 6 iliopita nilipoamua kuowa.

Mwezenu nisaidieni janga hili nimenizidi kimo.

Dhambi zingine unazikimbia na miguu yako miwili
 
Hii ndio shida ya ubunifu wa kupindukia,yaani ulivyompagawisha enzi hizo ulitegemea nini!vuna ulichopanda.
 
miaka sita?

amejuaje kuwa una moto ule ule?
 
Mkeo ana hasara aiseee... So you are married and still seeking advice on stupidity? Shame on you
 
sasa ugumu ukwapi we cheza na mbwa tu utaingia nae hadi msikitini,yaani mkianza tu ujue na amani hamna home hakuna siri
 
Back
Top Bottom