Mi ndoa sitaki labda unigegede tuuuu

Mi ndoa sitaki labda unigegede tuuuu

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana MMU

"Mi ndoa sitaki kwa kweli napenda unavyogegeda na huo mgegedio wako"
"Nimetembea na wengi ila hakuna aliokidhi haja zaidi ya wavulana 15 natafuta mithili yako ila cjamuona"
"Nimeshaoneshwa mkeo na kwako nimeshaoneshwa kwa hio usipokubali kurudiana na mie wala usiwe na hofu mi sitaki uniowe ila nataka nitapokuhitaji kimapenzi unifike na km unadharura nukupate ndani ya siku 2 zitazofuata"

Hayo ni maneno ya mpenzi wa zamani baada ya kuonana leo.
Nimeachana nae miaka 6 iliopita nilipoamua kuowa.

Mwezenu nisaidieni janga hili nimenizidi kimo.
 
Kaz unayo mwenyewe! Amua kusuka au kunyoa
 
Miaka 6 unaiona kidogo eenh!!!?
chagua maisha wewe acha ujinga huo.
 
Hizo dharau za kufanywa changudoa wa kiume ni za kuombea kweli ushauri...?au wadhani ni sifa?
Utakubalije kuambiwa 'anataka akiwa na hamu ukamgegede'?ina maana wewe ni sex machine?
Heshimu ndoa yako,kama kweli umeoa na unajua nin maana ya ndoa huna haja ya kuja hapa kuomba ushaur wa issue kama hii...!
To me it seems unajitangaza/jisifu kinyemela...which is too low for a real man!
 
hivi kuna watu wengine kufungua thread kwao ni kama kujikuna ukiwashwa? kuna vitu vingine hata siyo vya kuomba ushauri.
 
Habari wana MMU

"Mi ndoa sitaki kwa kweli napenda unavyogegeda na huo mgegedio wako"
"Nimetembea na wengi ila hakuna aliokidhi haja zaidi ya wavulana 15 natafuta mithili yako ila cjamuona"
"Nimeshaoneshwa mkeo na kwako nimeshaoneshwa kwa hio usipokubali kurudiana na mie wala usiwe na hofu mi sitaki uniowe ila nataka nitapokuhitaji kimapenzi unifike na km unadharura nukupate ndani ya siku 2 zitazofuata"

Hayo ni maneno ya mpenzi wa zamani baada ya kuonana leo.
Nimeachana nae miaka 6 iliopita nilipoamua kuowa.

Mwezenu nisaidieni janga hili nimenizidi kimo.

JF never ................!!!!!!!!!!!!!!!

cc theboss
 
Last edited by a moderator:
miaka 6 bado hagegedwi au anataka kukupa MAJANGA mwenzako keshazunguka kote kalikwaa
 
Back
Top Bottom