eti siku hizi ukimpigia mtu halafu hapatikani lakini unasikilizishwa new song ya marlaw...kha? hawa jamaa wanalazimisha promo
wamekua fake sana...mi nahama huu mtandao
Ni kweli kabisa,hata mimi nishawahi kuweka 1000 Kuongea na tigo dakika tatu pesa ikaisha.wezi wakubwa.na kuna siku nilituma maombi ya kujiunga na xtreem ya sms 100 na dk tano,ilikuwa sh.400wakanikata pesa na hawakuniunganisha
Inatubidi tuanzishe chama cha kutetea watumiaji wa vyombo vya mawasiliano, wakituzingua tunatumia chama kuwapigia kelele hatutaki unyanyasaji usio na taarifa!
Usiwe mvivu wa kufikiri,kuwa wa kwanza kwenye biashara hailalishi Wizi wao,jana mm nilikuwa na 1060 nikaongea dakika 4 tu tena tigo kwenda tigo na hela imekata,sasa nina salio La ths 610 nikipiga naambiwa "U are out of balance",these are ******,NAHAMA,MWISHO LEO KUTUMIA HUU MTANDAO WA MAJAMBAZI!!
eti siku hizi ukimpigia mtu halafu hapatikani lakini unasikilizishwa new song ya marlaw...kha? hawa jamaa wanalazimisha promo
wamekua fake sana...mi nahama huu mtandao
kweli kabisaa, unaweza kumpiga jamaa hapatikani, sasa badala ya kutoa message jamaa hapatikani, wanaanza kukupatia manyimbo ya promo kama kwamba ndo inaita kumbe hapatikani mtu mwenyewe. Unakuwa umepoteza muda tu kusikiliza promo kwa lazima
Unaonyesha jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikiri na hata kusoma maana hata mwanangu mwenye miaka mitano aliyeko Swansea anajua Tigo ni nini na Airtel ni kitu gani, sembuse kubwa zima kama wewe huoni aibu? au unaona ufahari kujidai uko abroad eti hujui kabisa yanayoendelea Tanzania? Una bahati naogopa ban!!