ustadhi mmoja kutoka kikundi cha uhamsho alienda kuhubiri msikiti wa masasi.alikalibishwa majira ya saa 2 asubui,anga anza kufundisha mpaka saa 6 mchana,9 alasiri na ilipo fika majira ya saa kumi jioni wauwini wakaanza kutawanyika mara mpaka akabaki kijana mmoja,ilipo fika saa 12 jioni mambo yalikuwa hivi
ustadhi:wewe ni muislamu safi sijapata kuona
kijana:kimya
ustadhi:kweli utayafanya niliyo kufundisha
kijana:kimya
ustadhi:kweli wewe utafika peponi.
yule kijana kwa hasira akasema'bana ww mi sitaki pepo baaa,mi nataka nkenkaa huooo uliokalia niondoke,we ntu gani usiye malizaa ba.