Mi mmasai bwana, nasema mi mmasai!

Aiseeee!Kula nyama mbichi! Hiyo mila ni hatari!
 
Ni safi sana kwa nyama mbichi kula koliko watu wengeni kula nyama ya binadamu mwenzake na hata kama kuna machafuko ya inchi basi huyu huwa hakai na njaa ni kuwinda mnyama tu
 
Ni mwendo wa kula minofu kama ilivyo...
 
Mhh, hata iliyopikwa ni shider, tena mbichi??
 
Nasikia hata wazee wa kichaga wanakula nyama mbichi hasa ule utumbo wa 'taulo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…