natafuta mchumba na mungu akijalia tuje funga ndoa,nina miaka 30 natafuta mwanaume wa miaka kuanzia 36 mpaka 40 kabila lolote awe mkristo na mpenda maendeleo kama mimi,asiwe mlevi, awe mrefu asiye nakitambi,awe anajishughulisha ,Mimi niko dar nafanya kazi nimeajiliwa kwenye kampuni flani,aliye tayari aniPM