mi mgeni ndiyo nimeingia

mi mgeni ndiyo nimeingia

karibu sana mkuu ila hili ni jukwaa la ent & michezo
 


Adu gida karibu sana katika jamvi la Great thinkers. Ila umekosea kidogo njia, ukirudi kitengo cha "HOME" utakuta kitengo cha JF SOCIAL FORUMS (Lounge) katika hio list utakuta mwisho kabisa kipengele cha utambulisho.... Hapo utakaribishwa rasmi na kupewa maelekezo na JF members. Karibu saana katika Jukwa la GREAT THINKERS....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom