Angalia hyo videoOngezea nyamanyama kwa sisi tusio kifahamu mkuu...
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Angalia hyo videoView attachment 1689054
Motorola nao wana demo ya kitu kma hichi pia.Impossible [emoji23][emoji23][emoji23]
Motorola nao wana demo ya kitu kma hichi pia.
Ila wasema mass production bado na hawaja plan tarehe yoyote. Si unajua hvi vitu lazima vinyiwe testing na kuwa improved. Na lazima vithibitishwe kma havina madhara kwa binadamu au wanyamaHatari hiii
Waliotengeneza na wametengeneza hicho kifaa ulichotumia kuandika impossible ,na comment yako inasoma na kila mtu dunianiImpossible [emoji23][emoji23][emoji23]
Na tech ya zamani kidogo sema sasa hivi wame improve mpaka 5W, kipindi Kile Nokia Wali achieve power ya kuifanya simu iwe standby tu.
nokia watangaza teknolojia ya kuchaji simu kwa kutumia minara (ya simu, tv na redio)
Nokia research centre ya cambridge uingereza wametangaza kua wamegundua njia ya kuifanya simu ikae standby milele na milele. Na hii inatokana na kutumia energy inayozunguka minara ya simu, redio na television. Ina maaana hapa mnara wa simu sio tu utakua unakurushia wewe network bali pia energy...www.jamiiforums.com
1. GlassWire inafanya hyo kazi. Lakini ni paid app. Unalipia tsh 2,500 kwa mwaka na itakupa option hzo zoteSamahani mwenye uzi huu naomba kuuliza swali tofauti kwako na wengineo wenye majibu.
Ni app gani naweza tumia ambayo inaweza block internet kwa baadhi ya app kwenye simu ya android?
Pia ni app gani naweza itumia ambayo inaweza funga baadhi ya app kwa masaa kadhaa ambayo nitaamua mwenyewe?
Digital WellbeingSamahani mwenye uzi huu naomba kuuliza swali tofauti kwako na wengineo wenye majibu.
Ni app gani naweza tumia ambayo inaweza block internet kwa baadhi ya app kwenye simu ya android?
Pia ni app gani naweza itumia ambayo inaweza funga baadhi ya app kwa masaa kadhaa ambayo nitaamua mwenyewe?
kama mdau alivyokujibu hapo juu unahitaji firewall, na kama unahitaji privacy za mambo kama hizi weka store ya f-droid kwenye simu yako, utapata apps ambazo ni open source za bure na salama.Samahani mwenye uzi huu naomba kuuliza swali tofauti kwako na wengineo wenye majibu.