kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
Hahahhah kwahy tucoment nini hapa Mkuu?!Wakuu nimekuwa kila siku nikienda kwenye hotel moja kwaajili ya kula Mimi sio mpenzi wa kujipikia kutokana na kuwa ratiba zinanibana hivyo nimezoea kula kwenye hotel iliyopo mtaa wangu sasa Mimi uwa naacha biri ya kula mwezi mzima kwa mama mwenye hoteli sasa kuna muhudumu mpya ana kama wiki 2 tu sasa kila nikienda huyu muhudumu ananichangamkia hadi kapitiliza mbaya zaidi anakuwa na furaha sana, nilifanya utafiti nikagundua sio wateja wote anaowachangamkia kama Mimi mbaya zaidi uwa ananiangalia sana wakuu sio demu mkali ni wa kawaida sasa nimeona nisianze kuomba namba mapema mapema hadi pale atakapoanza yeye ila nimegundua ukiwa smart sana mademu wanapagawa kinoma
Pwagu kakutana na Pwaguzi hotelini!Hahahhah kwahy tucoment nini hapa Mkuu?!
MsafiiiHkn Shaka watamu Sana ila wachafu pia wauza mam ntilie
sema 'mama ntilie'hotel
Huku moshi mgahawa wanaita hotel, grocery/kibanda cha pombe wanaita barMkuu, hivi tofauti ya Hotel, Mgahawa, Kwa mama ntilie ni nini?
Hotel mtaani kwenu! Mama mwenye hotel!
Oa kabisa tu mtu smart
Komenti chochoteHahahhah kwahy tucoment nini hapa Mkuu?!
Piga mkuu golden chances never came twice in life!!Wakuu nimekuwa kila siku nikienda kwenye hotel moja kwaajili ya kula, mimi siyo mpenzi wa kujipikia kutokana na kuwa ratiba zinanibana hivyo nimezoea kula kwenye hotel iliyopo mtaa wangu. Sasa mimi huwa naacha bili ya kula mwezi mzima kwa mama mwenye hoteli, sasa kuna muhudumu mpya ana kama wiki 2 tu, kila nikienda huyu mhudumu ananichangamkia hadi kapitiliza, mbaya zaidi anakuwa na furaha sana.
Nilifanya utafiti nikagundua sio wateja wote anaowachangamkia kama mimi, mbaya zaidi huwa ananiangalia sana. Wakuu siyo demu mkali, ni wa kawaida. Sasa nimeona nisianze kuomba namba mapema hadi pale atakapoanza yeye, ila nimegundua ukiwa smart sana mademu wanapagawa kinoma!