Mhudumu kwa bibi-mshahara 150,000 NET

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Anatakiwa mhudumu kwa ajili ya kumhudumia bibi mzee-hajiwezi,kazi kubwa ni kumpikia na kumuosha.
Anayetakiwa ni mhudumu wa kike,umri kati ya 18-35,kabila yoyote,kazi iko DAR.,kula na kulala zitalipiwa na familia.
Wapi anaweza kupatikana?Akiwa nurse anaweza kulipwa zaidi kidogo.Naomba nijue wapi naweza kumpata au kama yuko hapa atume maombi kwa dibkanm@yahoo.com
 
Inabidi kukaa na kuishi hapo,si kazi ya daily.Gharama zake za chakula na kulala zinalipiwa,thx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…