Mhudumu kaniibia cmu na kuficha kwenye nyeti

Nimetoka kunywa supu mitaa ya kati cmu yangu niliacha mezani na kwenda kunawa mikono mhudumu wkt anatoa vyombo akatoa na cmu yangu yaani kitendo kimefanyika ndani ya dk.2 nashangaa cmu haionekani. Kuuliza watu pale kila mtu anakataa wakaitwa wahudumu wote wakakataa mzee mmoja akasema taja namba yako kijana nikataja akapiga heee kati ya wahudumu 8 mmoja akaanza kucheza Kiduku pale watu tukawa tunashangaa mzee akawa anasema mbona cmu inaita dah kumbe yule aliye kuwa akicheza kiduku ndiye aliye nikwapulia na kuificha kwenye nyeti zake sasa wkt cmu inaita ilikuwa inamtekenya i see mmmh ikabidi aitoe pale dah na kuiweka mezani imetoka na shombo lol imeniradhimu ninunue sprit na kuipiga soap soap
Akina Baba_Enock, Asprin, Kimey, Teamo, Bigirita, Kaizer na wengineo tuwe makini tunavyo acha cmu mezani heri ya kina dada wanatembea na mikoba mikuuuubwa

Nyeti ipi? tiGo ama Ikulu kabisa?
 
wangeiacha tu muhudumu amalize.......hiyo simu ilibidi iite kama mara tano hivi, na wala usingeipata, naanga ingekuwa umelowa mpaka betri

umenena kiaina ila alimpa masharti mhudumu alimuambia akaitoe afungue phone atoe chp aifute so aliondoka na chip tuu. lkn wanajuana na mhudumu kwani alimiss harufu ya nehneh.
 
pole sana mkuu..hawa wahudumu huwa wanaclear meza na simu kana kwamba simu nayo ni mifupa then wanapiga kimya huyo sio mzoefu, maana hakuweza kukumbuka issue ya kuizima..besides umempa mbinu mpya ya kujimalizia issue kama atakmwama kumpata mwanaume. anajiwekea simu yake anaipga then twende kazi, mpaka anajirdhisha.mchezo kwishnei
Jamani nadhani c wahudumu wote wako hivyo. Mi kuna mhudumu Moro alinitunzia cm nilioisahau mezani. Tena ndo nilikuwa natoka kuinunua.
 
Pole sana Fidel80 da ila hiyo simu ya kuwekwa kwenye nyeti ..haifai tena toa line umpelekee zawadi ya simu huyo mwizi wako
 
Pole sana Fidel80 da ila hiyo simu ya kuwekwa kwenye nyeti ..haifai tena toa line umpelekee zawadi ya simu huyo mwizi wako

Ahsante hii cmu naipenda sana kumwachia roho inauma bora nibadilishe hauzingi wkt anaitoa ilikuwa imelowa kabisa
 
:doh::doh::doh::doh::doh:pole mkuu, yaelekea huyu hajaujua mji vizuri alisahaua hata kuizima? au hukumpa huo muda
 
Itabidi tu mfanye kweli, si umeshashika nonini yake hahaa, mi nimeona kwenye citzen newz juzi, kenya mwanamke kaiba sim akaimeza, wamepiga ikaitia tumboni.
 
Huyu Fidel kila siku tunamwambia hizi baa na mijengo ya manzese sio zenyewe kabisa....Ivi mjukuu mtukutu, kumbe simu ikiwekwa sehem sehem bado inakuwa na netiweki?

Unataka mjukuu mtukutu aka-test au unasema nn hapa........au sehemu sehemu ina maana mpya siku hizi.
 
:doh::doh::doh::doh::doh:pole mkuu, yaelekea huyu hajaujua mji vizuri alisahaua hata kuizima? au hukumpa huo muda

weweeee!! mi simu zangu huwa naziharibu sehemu ya kuwashia na kuzimia....ninakuwa najua mm peke yangu jinsi ya kuiwasha.......ukiiba imekula kwako mazima.

Hata sehemu ya kukatia cm huwa sina.....nikikupigia ww ongea tuuuu, ukimaliza kata!! heheheheee:msela::msela::msela:
 
Hii itakuwa mitaa ya Tip-Top pale!

BTW: unamaanisha aliizamisha yote au ilikuwa inashikiliwa na nguo ya ndani?
 
Pole sana mkuu ila usijiamini hivyo ck nyingine, bongo hii unaacha cm mezani tena hotelini. Yote tisa kumi pole!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom