Mhudumu Duu....

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Wasambaa wawili wanakaa kwenye viti baa wanatafakari waagize nini, ghafla wanaingia wachaga wawili nakuagiza kwa sauti ''tuletee Kilimanjaro mbili bwashee'' wasambaa wakaona wasituzingue hawa mhudumu alipokuja kwenye meza yao wakakurupuka ''tiletee Lushoto mbili tafadhli'' mhudumu duu...
 

Hapo kwenye red wangesema " Tiletee Usambaa mbili tafadhali" ha ha haaa!
 
teh teh teh teh!!!!!!!!!!!
na mimi nitaagiza......1 baridi
 
Wa central zone angesema, 'chamwino moja moto tafadhali'
 
Wa moro,2letee urugulu mbili bariiiiidi tafadhari.
 
Qwa qwa qwa qwaaaaaaa, na mimi nifanyie katavi mbili aisee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…