naona kama huku kwetu ndo wamezidi yaani hata sasa hivi wameshakata tena bila ya taarifa yoyoteKama kichwa kinavyo jieleza hivi tanesco kuna shida gani maana si kwa mgao huu wa umeme watu tumejiajiri kwenye viwanda vidogo lakini umeme
Umekuwa shida watoto wanakufa njaa maana hakuna kazi tunafanya au mhongo alindoka na umeme wake maana tangu aondoke imekuwa shida tupu huku kwetu kaliua ndio balaa tupu
Je serikali ya viwanda itafanikiwa kwa hali hii.
umeandika pumba niamini mimiKwani mlizaliwa kwenye nyumba zenye umeme, naelewa sasa tuliozaliwa vijijini gizani gizani tunaona kawaida