Mhmh hivi huyu ni mzima kweli.

Morgan james

Member
May 21, 2012
28
1
Nina mpenzi wangu lakini kabadilika sana siku hizi hapo awali tulikuwa tuki do katika njia halali but now dayz simuelewi kabisa anataka tufungue ukurasa wa pili so nifanye nn wandugu.
 
We ni wa kiume au kike? Weka na jinsia ili tuelewe
By concluding huyo tayari kesha halalisha Cameroonian theory of sodomity
 
kumbe ni mpanzi! mimi nilijua mpenzi sasa kwanini uwe ni hilo panzi? nakushahuri utafute mpenzi anayekupenda huyo panzi achana nae
 
WE NI WA KIUME AU KIKE? Weka na jinsia ili tuelewe
By concluding huyo tayari kesha halalisha Cameroonian theory of sodomity

Muanzisha uzi utata, SWALI LA JINSIA kashaulizwa sana kwenye nyuzi kadhaa anazoanzisha. Hebu 'Morgan james' funguka.
 
Nina mpanzi wangu lakini kabadilika sana siku hizi hapo awali tulikuwa tuki do katika njia halali but now dayz simuelewi kabisa anataka tufungue ukurasa wa pili so nifanye nn wandugu.

Hivi, mtu akikwambia kanyaga moto na wewe unauona kuwa huwa ni moto na unawaka utakubali?

Tukirudi kwenye "heading" ya thread yako
Uliuliza: Mhmh hivi huyu ni mzima kweli?
Jibu: Ni mzima wa kiafya lakini siyo kiakili ....
 
Nina mpanzi wangu lakini kabadilika sana siku hizi hapo awali tulikuwa tuki do katika njia halali but now dayz simuelewi kabisa anataka tufungue ukurasa wa pili so nifanye nn wandugu.

Ndugu hilo ni swali la kuuliza jf kweli au kuomba ushauri kwa mtu kweli..you are not serious asee!!!...jibu liko wazi hiyo kitu ni dhambi kwa mwenyezi mungu..


Eti unaomba ushauri pumbaf!!!
 
ah wee endelea tuu maana tayari una dhambi ya kuginoka kabla ya ndoa so hiyo ya tigo wala isikupe presha...endelea kujipa raha.
 
We jinsia yako ni ke au me?
Je yeye ndo amekuambia au ww ndio wataka?
Muulize kama alishawai fanya hivyo au la
Kwa akili ya kawaida unadhani ni.vizuri?
 
binadam bhana sasa unauliza jinsia while amekwambia mpz sijui mpanz anataka kugeuza kurasa mean kama ni chime unataka kusema ipite wap mdomon must ni chike bhana mda wa kutongozana mbona hukuulizia faili lake mirembe
 
kuna watu tunaamini dhambi ziko tofauti mtumia tigo na mzinzi wa kawaida wako tofauti kwanza moja anafanya against nature(anamkosoa Mungu Kwa uumbaji,ni kama anamwambia ulitakiwa uweke hii kitu iwe inapigiwa huko) huku mwingine amewaka tamaa za kawaida! i stand to be corrected
 
Jamani tuwe serious,huku tunajadili mambo ya maana na ya kutujenga na kujenga nchi yetu,sasa we unaomba ushauri wa nini ? kula tigo!!!!!!!!! pumbafffffffffffffffffff
 
Back
Top Bottom