Tayari mkuuNa picha sasa ungeweka
Good MkuuTayari mkuu
Sio wote wanauwezo wa kufika kileleni mkuu. Wengi huishia njiani hivyo ukitoboa nayo inakua kama dream come trueIv kwanini kila mtu akifika kilimanjaro huwa anaweka historia
Sijaelewa hapo siku tano Haina Masaa 31
Mhispania wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro huku akitumia saa 31 akiendesha baiskeli katika siku tano hadi kufika kilele cha Uhuru.
Nafikiri alitumia wastani wa masaa 6 kwa siku! Hivyo alikuwa akipumzika ndiyo kama taarifa hiyo ni sahihi."huku akitumia saa 31 akiendesha baiskeli katika siku tano hadi kufika kilele cha Uhuru" saa 31 = siku 5 naomba ufafanuzi hapo au alikuwa anaendesha na kupumzika?
Sijaelewa hapo siku tano Haina Masaa 31
"huku akitumia saa 31 akiendesha baiskeli katika siku tano hadi kufika kilele cha Uhuru" saa 31 = siku 5 naomba ufafanuzi hapo au alikuwa anaendesha na kupumzika?
mbona hiyo rekodi kama haina tijaNafikiri alitumia wastani wa masaa 6 kwa siku! Hivyo alikuwa akipumzika ndiyo kama taarifa hiyo ni sahihi.
Haina tija kwako ama kwake?mbona hiyo rekodi kama haina tija
mbona una mwaswali mengi jinsia yako ni ipi?Haina tija kwako ama kwake?
Jinsia inahusiana vipi na kuuliza?mbona una mwaswali mengi jinsia yako ni ipi?
kwa sababu sio kila mtu anaweza kufika kileleni. ofisini kwetu huwa tuna program ya kupanda mlima Kilimanjaro watu wakirudi hizo sura wamebabuka wako hoi....Iv kwanini kila mtu akifika kilimanjaro huwa anaweka historia