Mligo Augustino
Senior Member
- Nov 29, 2017
- 126
- 278
Hoja zako hazina mshiko wowote.mahakama makao yake makuu yanaweza kuwa dar na kila kitu kikawa poa Tembelea nchi nyengine na uone mfano South Africa.Tumeona utekelizaji wa serikali kuhamia Dodoma ukienda kwa kasi nzuri. Bunge liko Dodoma, Makamu wa Raisi ameshahamia Dodoma,Waziri Mkuu ameshahamia Dodoma,Raisi ameweka bayana kuwa mwakani anahamia Dodoma.Safi sana.
Kwa nini mhimili wa Mahakama hauonyeshi dalili za kuhamia Dodoma? Hivi wanataka mkuu wa dola(Raisi) atakapohamia Dodoma mwakani, akaribishwe na nani? Au wanataka mpaka Raisi atangulie kuhamia Dodoma, then wao waje?
Kwa busara ya kawaida sisi wananchi tunatarajia MHIMILI WA MAHAKAMA uhamie Dodoma kabla ya Mheshimiwa Raisi kuhamia Dodoma.Raisi ni HEAD OF STATE(Ibara ya 33 ya Katiba).Kikatiba mihimili yote mitatu ipo chini ya Raisi wa Jamhuri.
Usiwe hostage wa copy and paste.Tengeneza mfumo wako.Hoja zako hazina mshiko wowote.mahakama makao yake makuu yanaweza kuwa dar na kila kitu kikawa poa Tembelea nchi nyengine na uone mfano South Africa.
Mfumo gani utakaotengeneza.Tangu tunapata uhuru wa nchi hamna jipya ambalo tumefanya wengine hawajalifanya.Mimi nimekupa mfano huo ya kuwa system ya sasa inawwza kufanya kazi kwa ufanisi Zaidi hata kama raisi atakuwa Dodoma. Ya nini kutumia Gharama kibao wakati pesa zile zinaweza kuwa channeled katika huduma nyengine za maendeleo . lakini mwenzangu una akili sana in such away wengiine wote hata viongozi wa serikali wameshindwa kuona kama unavyofikiria wewe. Mwisho wa siku muono wako uko finyu na hauna mshiko wowoteUsiwe hostage wa copy and paste.Tengeneza mfumo wako.
Jiongeze kidogo, utafika.Maamuzi yameshafanyika lazima mihimili yote ya dola ihamie Dodoma, no more no less.Tunaongelea utekelezaji wa maamuzi sahihi.Mfumo gani utakaotengeneza.Tangu tunapata uhuru wa nchi hamna jipya ambalo tumefanya wengine hawajalifanya.Mimi nimekupa mfano huo ya kuwa system ya sasa inawwza kufanya kazi kwa ufanisi Zaidi hata kama raisi atakuwa Dodoma. Ya nini kutumia Gharama kibao wakati pesa zile zinaweza kuwa channeled katika huduma nyengine za maendeleo . lakini mwenzangu una akili sana in such away wengiine wote hata viongozi wa serikali wameshindwa kuona kama unavyofikiria wewe. Mwisho wa siku muono wako uko finyu na hauna mshiko wowote
Hakuna kitu kama hicho huo ni ufinyu wa mawazo yako..Jiongeze kidogo, utafika.Maamuzi yameshafanyika lazima mihimili yote ya dola ihamie Dodoma, no more no less.Tunaongelea utekelezaji wa maamuzi sahihi.
Kwa facts zipi. Mbona ni mvivu kujenga hoja hivo.Leta fscts to support your position.Hakuna kitu kama hicho huo ni ufinyu wa mawazo yako..
Ndiyo akili za UVCCM hizo mkuukwani dodoma hakuna mahakama?
Wewe kuna hoja uliyojenga kwani?Kwa facts zipi. Mbona ni mvivu kujenga hoja hivo.Leta fscts to support your position.
Pamoja na ufinyu wa akili yako, Utashuhudia takwa hilo la kidola likitekelezwa. CCM hoyeee!Wewe kuna hoja uliyojenga kwani?
Nina uhakika wewe uko finyu Zaidi kuliko mimi kwani unaongea vitu ambavyo huvijui unakurupuka kuandika ili uonekane na wewe umo.hizo fikira zako ni sawa na yule mtu anaezurura mitaani ya kuwa na mawazo ataenda ulaya na kuwa tajiri.Pole sanaPamoja na ufinyu wa akili yako, Utashuhudia takwa hilo la kidola likitekelezwa. CCM hoyeee!
Completely absardy.. You are dreaming.Nina uhakika wewe uko finyu Zaidi kuliko mimi kwani unaongea vitu ambavyo huvijui unakurupuka kuandika ili uonekane na wewe umo.hizo fikira zako ni sawa na yule mtu anaezurura mitaani ya kuwa na mawazo ataenda ulaya na kuwa tajiri.Pole sana
Hahahaha masikini wewe.nadika kitu unachokifahamu. Hakuna neno "adsardy" bali neno sahihi ni "absurd" na pengine umekusudia kuandika "absurdly" na hata hivyo haiwezekani hayo maneno kuwa pamoja kwenye sentence bila ya kuwepo maneno mengine namaanisha Completely na absurdly kwa sababu yote ni adverbCompletely absardy.. You are dreaming.