Jonogomero Member Joined Feb 8, 2012 Posts 99 Reaction score 27 Mar 4, 2012 #1 Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Mar 4, 2012 #2 Lazima atakuwa ni police huyo
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 936 Mar 4, 2012 #3 Moja ameiiba au kanunua anataka kubadilisha