unataka kuwaambia nini watanzania? watu wawachague viongozi kwa kuangalia imani zao zinasemaje? kama umeona dhambi moja ya uzinzi kwa mgombea mmoja, unazijua nyingine? au unajua kama wagombea wengine ni wazinzi au la? UZINZI hufanyika kunako siri. hata wewe wajua hilo.Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.
Mkuu, umemwona huyu! this is the kind of guys ambae radius ya uwelewa wake is no more than the length of his synagogue.Kwa hiyo hiyo mijizi iliyotuibia yote EPA, Richard Monduli, Meremeta, Kagoda, Deep Green, Nk. orodha ni ndefu siyo dhambi ila kudhini tu? Kwani yeye nani kampa haki ya kuchukua nafasi ya Mungu kuhukumu? Mamlaka yake yako kwa hayo majizi ayashughulikie asichukue nafasi isiyo yake
Kile kitufe cha senki yuu sijakiona. Ngoja nikupe hapa hapaPromises promised by j.k so far is 67.lets assume till the end of the campain it will be 70 amoung of 3 international airports,3 luxurious ferry for all great lakes,modern infrastructures including dar-es-saalam fly overs etc.1 year equal to 365 days times 5 years =1825 days then divide by 70 promises=26 days only to fulfill one promise neglect free education and healthy services impossible.no need of calculation so far the guy is seriously suffered with mental sickness.
Hivi huyu jamaa alimuoa au alipewa zawadi? si mtoto wa swahiba wake huyu?
Hana jipya kabisa ameishiwa sera.
Ambao tunataka kuutua October 31st.Mbona umechelewa kujua ndugu yangu!huo ndiyo mzigo tulionao watanzania!
na ni bora basi liwe zigo linalobebeka.hilo halibebeki mkuu mana ni kama la kinyesi hata ukijitaidi vipi bado ukilishusha utanuka mabegani ka sio kichwani achilia mbali mikononi.mbona umechelewa kujua ndugu yangu!huo ndiyo mzigo tulionao watanzania!
Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.
Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing.
yaani alikuwa anaongea as if yupo kwenye mipasho ya taarabu eti ANAPONDA UZINIFU NA UVUNJIFU WA AMRI YA SITA YA Dr Slaa. nikajiuliza kichwani hivi hayo yanatuhusu nn ss raia. ss tunataka atuambie yy atatufanyia nn personal affairs za watu ss hazituhusu. kwanza yy ni mchafu kuliko hata anayemsema.
kwakweli busara zake ni 40%. housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.
by the way,mi si mwanachama wa chama chochote ila kura yangu aisahauuuuuuuu.
Jamani hivi kuna mzinifu zaidi ya JK? Haya alikuwa anayasema lakini yalikuwa hayatoki moyoni mwake naamini. Nani asiyejua kwamba kajaza mahawara zake pale ikulu kina Premmy Kibanga?
Aache hizo siasa chafu Bwana huu si wakati wake!!!
Tiba
p.h.d in usaniology
Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.
Mbona haongelei - MADINI YETU YANAVYOIBIWA? MBONA HAONGELEI RICHMOND? ----------- hana JIPYA KABSAAAAAAAA - KWA KWELI APISHE WENGINE JAMANI ..............OH! ANATUAIBISHA SANA WATANZANIA