Mhhh huu urefu umezidi

Mhhh huu urefu umezidi

Huyo lazima apigwe ban kutembelea kwenye vyoo vya 'passport size' vya uswazi.

Enzi zile za uwanja wa taifa wa zamani angekuwa anawatangazia mpira unavyoendelea ndani ya uwanja wa taifa wale waliopo nje ya uwanja.

Kwenye daladala seat yake ingekuwa ni juu ya carrier tu ndani ya dala dala angesimuliwa tu kulivyo.

Ndege angepanda zile zenye kufunguka kwa nyuma angeingizwa ndani na kutolewa nje kwa machela.

Nguo zake za ndani anavishwa na mke wake kwa ngazi ya kupandia.

Kuangua nazi wala haitaji ngazi anakuuliza nikuchumie nazi ipi huku kichwa na mikono vimezingirwa na makuti ya nazi kule juu kabisa.

Duuuuuuuh!
 
Hao mkuu Bulldog ni jamii ya wanadamu waliokuwepo duniani mwanzoni kabisa walikuwa ni wamepanda sana,majitu ya ukweli.Ipo katika biblia kitabu cha mwanzo sura ya 6,ukianza na mstari wa 1.

Ngoja nichimbe zaidi mkuu
 
Huyu jamaa ni wa Uganda, alafu ukumbuke kuwa bongo sio sehemu ya hovyo bali ni sehemu kama ilivyo kwenye NBA/US.
USA imekuwa kama unavyoiona leo sio kwa sababu iliumbwa hivyo bali kuna watu wamefanya kazi usiku na mchana.
Na zaidi hakuna watu wa.pum.avu mfano kukaa kwenye vikao ukijadili swala ambalo unajua matokeo yake uliyoyapanga mwenyewe huku ukijilipa posho nyingi kwa siku mpaka muda uishe.
Fuatilia hili ili ubadilishe mindset yako na kuweza kuwa productive katika nchi yako.

hapo kwenye red si ndo uovyo naouongelea mimi... mindset yangu iko vzr tu maana imebase kwenye ukweli.. that doesnt mean siko productive, niko productive vzr tu kuliko watanzania wengi.
tatizo la bongo haulioni vzr, unaliona in a very closed sense, tatizo ni kubwa zaidi ya unavofikiri, sio serikali sio watu wenyewe kote majanga tu
 
He.....!!
Kumbe bongo ni sehem ya hovyo!?
hilo ujaligundua hadi leo?? nitajie vitatu ambavyo vinafanya bongo ionekane ya maana, vitatu tu...
mi ntakutajia zaidi vinavofanya bongo ionekane zero....
 
Bulldog, mleta mada, bado tuna hamu ya kujua huyu jamaa wa wapi kama una chanzo?
 
Bulldog, mleta mada, bado tuna hamu ya kujua huyu jamaa wa wapi kama una chanzo?

[h=1]HEIGHT: Uganda Discovers Its Tallest Man Alive.[/h] August 14, 2014 by admin in Comedy, Gossip, Lifestyle, News, Top 10
[EKIMEEZA LIFESTYLE NEWS] – NRM already got him to advertise for them!! Some other people are wondering whether this woman dressed in a yellow dress is laughing at him or simply overwhelmed by the 22 year old's height. The discovery Lokwang comes several years after the death of John Paul Ofwono, who, at 7ft 6.5in, was the tallest man in the country. Ofwono was initially thought to be the world's tallest at 8 feet 4 inches, but on measurement, was found to be 7ft 6.5in.
Uganda's tallest man only 30 centimetres shorter than world's tallest currently.
Akolstandingbigbig.jpg

Tall Man Lokwang

He always wonders what will happen to him in future as he towers with no resources to cater for his everyday needs.
This is the story of 22-year-old Akol Lokwang, Karamoja's tallest man. Lokwang is 2.2 metres (7ft 2in).
He is 30 centimetres shorter than the world's tallest man, Sultan Kosen, who measures 2.51 metres and lives in Ankara, Turkey.
Lokwang's hands and fingers are also longer than average.
Lokwang lives in a tiny hut, in Lomiroo village, Naryemaregai parish in Lotome sub-county, Napak, one of the five districts that make up Karamoja region.
He says he has to twist himself in the tiny round hut and cover himself with two bedsheets that were sewed together.
He says strangers turn and look at him wherever he goes. Some often park at the roadside near his hut.
Social life
"Sometimes, I appreciate the height and other times, I hate it because children tease and irritate me," says Lokwang.
He also says the height has prevented him from finding love. "Girls avoid me."
More so, he cannot run after them, like is common in Karamoja because he does not want to injure himself.
Lokwang also has a hard time finding fitting clothes. He said the clothes sold on the market are too short and he cannot afford to have his clothes tailor-made.
His sandals must also be made on order.
Lokwang says he walks a lot and exercises regularly to strengthen his muscles.
He also usually teases his peers, who say that he usually grabs their things and holds them up above his head where they cannot reach.
Lokwang says he once performed before the First Lady, Janet Museveni, in a village choir.
He is the first-born in a family of three. Both his parents are dead.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom