A amoxyclav JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 249 Reaction score 79 Apr 3, 2013 #41 bidodo said: The secretary ndio tunajuana shule too wala hamna mmoja kati yetu anopajua kwa mwenzie maana enzi izo hatukuwa wapenzi wala rafiki classmate too haya yote yameanza online Click to expand... mbona unajichanganya sasa? Ebu kaa utulie then ujue unataka nini then fanyia maamuzi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
bidodo said: The secretary ndio tunajuana shule too wala hamna mmoja kati yetu anopajua kwa mwenzie maana enzi izo hatukuwa wapenzi wala rafiki classmate too haya yote yameanza online Click to expand... mbona unajichanganya sasa? Ebu kaa utulie then ujue unataka nini then fanyia maamuzi.
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,277 Apr 3, 2013 #42 Preta said: mbona mimi nipo Mongolia na yeye yupo Yaeda lakini tunapendana.......? nimekumiss halafu ujue.... Click to expand... Halafu wewe baada ya kuwa umezamia Mongolia umeadimika sana. Na mimi nimekumiss kinoma yani, mwambie Mtu Chake asikambe mpaka penati...!.
Preta said: mbona mimi nipo Mongolia na yeye yupo Yaeda lakini tunapendana.......? nimekumiss halafu ujue.... Click to expand... Halafu wewe baada ya kuwa umezamia Mongolia umeadimika sana. Na mimi nimekumiss kinoma yani, mwambie Mtu Chake asikambe mpaka penati...!.