Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,352
- 6,984
Kiache kibabu nacho kitoe maoni ya chenyewe kwa uhuru bila kukishambulia ki-ad hominem! [emoji16][emoji16]Wee kibabu wa miaka 75 usituletee ukoloni [emoji23] mbona ka flow vizuri mtoa mada, unataka ubabe ubabe!
Unaamini ule msemo.. happy wife, happy house?
Huyo sio public comodity sasa unampost ili iweje?Na usimpost social media [emoji23]
Nimeongelea kuhusu kumheshimu mke aliye ubavu wako.Mkuu wewe ni Beta version of male!!
Hawa viumbe ili uendane nao sawa unatakiwa uwe dominant katika mahusiano! Kama usikubali mwanamke awe na sauti,mipango,maamuzi n.k kukuzidi wewe!!!!
Mfano wa mwanaume ni sawa na kamanda wa jeshi huwa hana muda wa kusikiliza au kubembeleza wale anaowaongoza. Women do like bad boyz!!
Ukileta characters za u-simp jua kuwa atakuzeesha na kukutoa mvi kabla ya wakati wako.
Ila maoni yako yakaa kinyantuzu mno 😀Kiache kibabu nacho kitoe maoni ya chenyewe kwa uhuru bila kukishambulia ki-ad hominem! [emoji16][emoji16]
Haifai kwa kweliHuyo sio public comodity sasa unampost ili iweje?
Heshima go both ways kumbuka hilo
Kumheshimu mwanaume ndio uanaume wenyewe, simamia heshima yake.Wanawake wametoka ktk mbavu zetu za kushoto tena zilizopinda !! We do not hate them!! Ila wanaume tunatakiwa tusimame kama wanaume
Wabeja [emoji16][emoji16]Ila maoni yako yakaa kinyantuzu mno [emoji3]
Wabeja kulumba.Wabeja [emoji16][emoji16]
Sithubutu kukushambulia kwanza nakuelewa sana wee mzee au persona yako hii ya kizee 🙌Kiache kibabu nacho kitoe maoni ya chenyewe kwa uhuru bila kukishambulia ki-ad hominem! [emoji16][emoji16]
Unataka tuache mada yako hii tena tuanze kujadili "upuuzi" wa Wanyantuzu wa kutokula pamoja na wanawake? [emoji15][emoji15][emoji15]Wabeja kulumba.
Kwa asili yenu wanyantuzu ni marufuku wanaume kula msosi pamoja na wanawake, sijui mtaacha lini huo upuuzi.
Kweli kabisa. Hii ya kuwasingizia wanawake ni kama chambo tu. Real feminists are males(traitors)% kubwa ya wanaotetea Ushoga na Feminism hua ni wanaume Sir.
Hua nashindwa kuelewa kwanini[emoji848]
Ila ameeleweka. Maoni na mdahalo huru.Upo nje ya bandiko
Naomba ufungue pm mara moja nikuombe hela nipo serious katika hiliUnataka tuache mada yako hii tena tuanze kujadili "upuuzi" wa Wanyantuzu wa kutokula pamoja na wanawake? [emoji15][emoji15][emoji15]
Halafu hii mila ya "kipuuzi" mbona ni ya kawaida tu kwa makabila mengi hapa Tanzania, Afrika na hata sehemu nyingi duniani?
Why are you singling out Wanyantuzu?