Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Jitahidi iwe hivyoHeshima kwa mke ni muhimu
You are simping too much brother!Jitahidi iwe hivyo
% kubwa ya wanaotetea Ushoga na Feminism hua ni wanaume Sir.Mkuu umeoa?
Wewe ni feminist wa kiume?
Heshima kwa mke ni muhimu ila hapa umebananisha sana!
You are simping too much brother!
💯🤝Msikilize mwanamke wako. Weka simu yako kando na uzime TV na uwe na 100% kila unapokuwa na mazungumzo naye.
Unfortunately the wise counsel is a barden to manyYou are simping too much brother!
Kweli💯🤝
Ijapokuwa mada inawahusu hasa wanaume ila kikweli wote mume na mke wanahitaji kufanya hivi mkiwa kwenye mazungumzo ya ni wonyesho wa heshima na kumjali mwenza wako kuwa haujampuuza
Na usimpost social media 😂Kamwe usihoji kuhusu akili ya mkeo. Thamini maoni na maamuzi yake. Ongea naye kwa heshima. Kamwe usimkosoe hadharani. Heshimu haki zake za faragha. Msikilize mwanamke wako. Weka simu yako kando na uzime TV na uwe na 100% kila unapokuwa na mazungumzo naye. [emoji817][emoji818][emoji1545]
BarikiwaTimekusoma mkuu
Wanawake wametoka ktk mbavu zetu za kushoto tena zilizopinda !! We do not hate them!! Ila wanaume tunatakiwa tusimame kama wanaumeAnd since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman
I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women
-2Pacalypse
View attachment 2478902
Upo nje ya bandikowanaotetea Ushoga na Feminism hua ni wanaume
Wee kibabu wa miaka 75 usituletee ukoloni 😂 mbona ka flow vizuri mtoa mada, unataka ubabe ubabe!You are simping too much brother!