Mheshimiwa sana Chimbuvu......

Nashukuru kwa kukumbushia, ni kweli nilitoa ahadi kuwa ndani ya masaa 72 nitatoa tamko kuhusu hatma ya mahusiano yangu na Madame B .
Ni ngumu kueleza lakini nikiwa kama mwanaume yanipasa kuchukua maamuzi magumu katika haya mahusiano yangu baina yangu na Madame B
najua mengi yataongewa lakini mwisho wa yote utafika na na itajulikana pumba na ngano.
Nashukuru kwa yote na kwa uvumilivu wenu. Naam.kesho siku ya jumapili ndio tamko nitatoa rasmi,kwa hiyo waandishi wa habari wa udakuJF na wa forbes tutakutana ChitChat restaurant inayomilikiwa na Erickb52 .
Asante.



 
Last edited by a moderator:

Niko huku pembeni nakuangalia.
 
Last edited by a moderator:
aisee ngoja nitafute ile tripod yangu ili kesho nije kufanya shooting kwa ajili ya manyuzzz!!!

😛eace:😛eace:😛eace:

 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chimbuvu,
Ukisahau nitakukumbusha. Nataka kujua hatima ya Zilipendwa wangu.
 
Last edited by a moderator:
Jumapili ndo inayoyoma hivo mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…