Novatus JF-Expert Member Joined Jul 28, 2007 Posts 330 Reaction score 38 Dec 8, 2010 #1 Natoa pongezi nyingi za dhati kwa wewe mzalendo wa kweli. mapambano ya UFISADI yaendelee hata kama kuna mbinu za kukunyamazisha. Hivi hawa mafisadi wanaona kila mtanzania ni mjinga? It is enough lazima dawa itafutwe tukomeshe udhalimu huu
Natoa pongezi nyingi za dhati kwa wewe mzalendo wa kweli. mapambano ya UFISADI yaendelee hata kama kuna mbinu za kukunyamazisha. Hivi hawa mafisadi wanaona kila mtanzania ni mjinga? It is enough lazima dawa itafutwe tukomeshe udhalimu huu
M mams JF-Expert Member Joined Jul 19, 2009 Posts 614 Reaction score 31 Dec 9, 2010 #2 Ninachjua akiendelea na msimamo kama alipokuwa spika basi watampotezea asilani na hatutomsikia tena
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,251 Dec 9, 2010 #3 Watampoteza kwenye uwazili na sio kwenye ubunge