Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Niliwahi soma biography ya Bill Clinton
walisema Clinton anapenda sana watu
huku wanasiasa wengi hawapendi watu..
lakini Clinton anapenda watu...anajisikia comfortable kukutana na watu

Magufuli hapendi tu watu
ni a loner...ana enjoy zaidi kukaa alone...
ukijumlisha na ujeuri na kiburi cha 'ubwana mkubwa' ndo hiki
 
Ipo siku tena inakuja kwa kasi ya ajabu sana pale itakapofika na kutuonyesha kile tulichokichagua .

Hakika nasema kiongozi akitanguliza umasikini mbele kifuatacho kwa jamii anayoiongoza ni laana.
 
Mpaka karne hii unaamini ushirikina pole sana. Yaani hata part ya akili yako haijakupeleka kwingine. Unajua nani anamshauri Rais. Unajua hatua anazochukua ( ni kuhakikisha mali ya watanzania inaliwa na wote inamcost kiasi gani?) Unataka kuniambia umeumia na unauchungu zaidi kuliko Mh. Rais. Unajua impact yake achilia mbali uchungu kwa wazazi fanmilia na Watanzania wengine umeanalyse impact yake kitaifa lakini! Hebu muache masihara kwenye serious Issue kama hizi!
 
wenzetu ulaya askari mmoja akiuawa raisi anacancel trip zake anarudi uyu ndo kwanza alienda kupiga vigelele soldiers wetu walivyokuwa wanaagwa
yani hata shetani huwa anapretend kuwa mwema na kufariji kinafiki ila uyu uwiiiiiiiiiii c mwezetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…