JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 63
Jaman nimependa mbatia aje chadema ili column itimie mambo yatakuwa mazuri zaid 2015
Jaman nimependa mbatia aje chadema ili column itimie mambo yatakuwa mazuri zaid 2015
Jaman nimependa mbatia aje chadema ili column itimie mambo yatakuwa mazuri zaid 2015
kufanya nini? hujui nae ana chembe chembe za magamba.Jaman nimependa mbatia aje chadema ili column itimie mambo yatakuwa mazuri zaid 2015
Aende kile chama ambacho hakitaki kushirikiana na wenzao?
Mbatia yuko kwenye chama makini NCCR na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
ha ha ha kwi kwi kwi kwi he he he nicheke mie ndoto za abunuasi chama cha upinzani kwa chadema manake CCM ni chama mfu already then you are rightMbatia yuko kwenye chama makini NCCR na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
Mbatia ni empty tin Kafulila alimpora chama bila Sam Ruhuza kumuokoa Chama kingekuwa headquaters yake kigoma kusini as we speak ,amebaki kutanua midomo tu bila effect yeyote akiitisha mkutano akipata watu ishirini anashangaaBaregu na Zitto Pekee chu.pi zinawapwaya akija Mbatia si Zitawavuka kabisa! Hawa watu watatu walipewa vichwa kupata Fikra huru sio tufe la kubebea Nyimbo za DJ!
Mbatia yuko kwenye chama makini NCCR na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
Mbatia yuko kwenye chama makini NCCR na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
Mbatia ni empty tin Kafulila alimpora chama bila Sam Ruhuza kumuokoa Chama kingekuwa headquaters yake kigoma kusini as we speak ,amebaki kutanua midomo tu bila effect yeyote akiitisha mkutano akipata watu ishirini anashangaa
Mbatia yuko kwenye chama makini NCCR na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
Mbatia yuko kwenye chama makini NCCR na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
....kisha akiutaka uenyekiti wa chaa taifa? au akitaka gobea uraisi iwe sekeseke ingine sio? unamjua jimmy au humjui?Jaman nimependa mbatia aje chadema ili column itimie mambo yatakuwa mazuri zaid 2015