Laiti ungejua Mbatia hana tofauti na CUF na wa aina hiyo, hunge jaribu kuandika hii thread.Jaman nimependa mbatia aje chadema ili column itimie mambo yatakuwa mazuri zaid 2015
mbatia yuko kwenye chama makini nccr na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
Jaman nimependa mbatia aje chadema ili column itimie mambo yatakuwa mazuri zaid 2015
Hiyo sentensi, inaweza ikawa na kaukweli fulani, si mnajua huyu jamaa, aliteuliwa katika ubunge wa viti maalum na JK?kufanya nini? hujui nae ana chembe chembe za magamba.
Hata ule moto wa kina Machali bungeni umepungua baada ya Mbatia kuingia huko.Tatizo wengi humu ndani huwa hamfanyi utafiti wa kina ili mpate taarifa zitakazoweza wasaidia kuelewa mambo kwa undani... Anyway pengine ni hulka mbayo tumejijengea ama tumejengewa bila ya sisi wenyewe kujitambua... NCCR ili anzishwa kama chombo cha kusimamia mageuzi ya vyama vingi hapa Tanzania. Chombo hiki kiliundwa na nguli kutoka TISS! Baada ya wao kufanya tathimini yao na kuishauri serikali iliyokuwepo madarakani, ili amuliwa kuwa hicho chombo kiongezwe neno Mageuzi na kuwa chama cha upinzani kitakacho wahadaa Wapenda mabadiliko!!!
Kwa kuwa chama hiki kilikuwa kimejaa wajinga wajinga watu kama wenyewe wanavyopenda kujinasib, mzozo siku zote zilikuwa ni kwenye Ruzuku! Rejea valangati la Tanga enzi za Mrema alipomvalisha mwenzake kofia baada ya umeme kuzimwa na wao kuanza kuzichapa gizani...
Bila ya kupoteza mantiki naomba ni kuhakikishie kuwa Mbatia kuteuliwa na Rais kuwa Mbunge haikuwa bahati mbaya...
Kwa mawazo yangu mimi ni kwamba siyo mbatia tu chadema tunamhitaji lipumba na mtatiro hawa jamaa na wakiungana na team mzima inayoongozwa na mzee slaa ni hatari tupu kwa ccm ila wasiwe na uchu wa madaraka wakubali vyeo watakavyopata ili iwe rahisi wao kupata uwaziri na ubalozi UK OR US.
chama cha nccr..manunuzi, hiyo ni ndoto ya mchana kweupe!Mbatia yuko kwenye chama makini NCCR na muda si mrefu ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani