Karibuni masijala
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 409
- 135
Wanajamvi, heshima kwenu kisima cha mjadala wenye Afya.
Hoja ya kuficha fedha USWISS ilipojadiliwa ili himitishwa pia kwa hoja Serikali ishughulikie, watu wenye ushahidi akiwemo mtoa hoja Mhe. Zitto kuwasilisha nyakara au ushaidi ili kuipa serikali muda wafuatilie Bunge hili ijadiliwe.
Je? Mhe. Zitto, CHADEMA, WANAKAMATI- BUNGE na Wana JF kwa Itelejinsia hoja imepangwa kwenye RATIBA ya Bunge hili?
Je Wasiopenda kitendo hicho akiwemo mtoa hoja, CHADEMA, Wanaharakati na Wana Jamvi Tumejipanga kwa namna hoja haitakosa mashiko kwa kufifishwa na wahusika kwa kutumia serikali kama wanaweza na Refa wa Bunge kama haridhii, " Speedi na Viwango" kuizima.
Je Majina ya wahusika yatawekwa wazi na mtoa hoja au hata kutajwa na Mzalendo mwingine huko Bungeni kama Dr Slaa aliyetupa kufahamu List of shame na Mhe Mabere aliyetaja watu 10 wanaohusika na kinachoendelea akaahidi ku deal nao kukomesha vitendo vyao;
Au awamu hii mtoa hoja na Wanaomunga mkono watasema, "MAJINA SIO ISSUE" kutupa kazi ni wakina nani?
TUJADILI